PreGE2025 CHADEMA Kufanya mkutano wao Kilombero licha ya zuio la polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.

Palipo na Makonda, ujinga wa aina hiyo hauwezi kukosekana. It was predictable!
 
Figisu za Msajili kule Dar figisu za Mapolisi na wanapwatuma huku Arusha.

Watatema Bungo tu🤣🤣
Hiyo ni kazi ya Bashite RC Arusha. Bashite ana chuki na hasira na CHADEMA, Watz wana lijua hilo. Kuepusha uhuni wa RC Bashite na Mapoliccm CHADEMA watafute arena ingine wafanye Mkutano wao.
Kinacho onekana Makonda na Mapolisi wamepanga kuhujumu Mkutano wa CHADEMA na watavunja watu miguu na mikono....!!!
 
Figisu za Msajili kule Dar figisu za Mapolisi na wanapwatuma huku Arusha.

Watatema Bungo tu🤣🤣
Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.

"Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine"

Ifike muda akili itumike!
 
Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Unafurahi mwenyewe kuona abdul na mama yake na dalali wao waziri salum wana gawana ardhi yako na wajomba zao waarabu na huna hata wasiwasi unashabikia tu kenge wewe, nchi hata haiwaumi hii utadhani utaishi wewe peke yako milele unasahau kuna vitoto vyako ambavyo vinategemea wewe uitunze ardhi hii ili navyo vije viifurahie kama wewe unavyo ifurahia sasa baada ya babu na baba zako kuipigania , CCM na siasa za ushabiki mnaiharibu sana nchi hii
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Arusha kimeeleza kusikitishwa na taarifa ya kuzuiwa kufanya mkutano wao wa hadhara uliopangwa kufanyika kesho Mei 28, 2025, katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha.

Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Arusha, Elisa Stephano Mungure ameeleza kuwa Chama hicho kilikuwa tayari kimewasilisha barua kwa Jeshi la Polisi Mei 22, 2025, kuwajulisha kuhusu mkutano huo, ambao unatarajiwa kuhudhuriwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho wakiongozwa na John Heche, Hata hivyo, leo wamejulishwa na Jeshi la Polisi kuwa mkutano huo hauwezi kufanyika katika viwanja hivyo kutokana na ujenzi unaoendelea.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Chadema wamedai kuwa maelezo ya Jeshi la Polisi si ya kweli na kwamba hakuna ujenzi wowote unaoendelea katika eneo hilo. Aidha, Jeshi la Polisi limewashauri waandae mkutano huo katika kiwanja kingine.

..Chadema wawe makini.

..mamlaka wanataka wamkamate John Heche ili kusitisha harakati za No Reforms No Election.

..Chadema wanapaswa kukwepa mitego yote ya dola ya kumkamata John Heche.
 
Live to Fight Another Day.

Acha mpumbavu asherehekee kivuli cha ushindi.

Vishawishi vya kijinga namna hii, wakati muhimu kama huu ni kuvipuuza tu, na waTanzania wataelewa.
 
Chadema haina uongozi,akidi haikutimia na msimamizi mkuu wa vyama katoa tamko,fuateni sheria,mpigwe kesho mlalame mnaonewa
Acha propaganda na uchawa wa kijinga ww.
Hv ni sheria gani na kifungu kipi kina mpa Msajili wa Vyama va Siasa kukataa au kutoutambua uongozi wa chama chochote cha siasa Tanzania???

Kama kuna mwanachama yeyote wa CHADEMA ana tatizo na Uongozi wa CHADEMA ulio chaguliwa na Kikao halali anatakiwa aende Mahakamani. Full stop!
 
Unajua maana ya 'msajili'!?
 
Back
Top Bottom