CHADEMA kufanya kongamano la miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika

Nyie bavichaa ni vichaa kweli kweli Uhuru wa Tanganyika ni Uhuru wa ccm sio nyie vichaa.
 
Kongamano hilo Litafanyika makao makuu ya Chama Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko kinondoni mtaa maarufu sana wa Ufipa tarehe 9/12/2021

Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya Corona .

Wote Mnakaribishwa

View attachment 2025673
Kwa hiyo hamtakwenda uwanjani kuadhimisha pamoja Watanzania wengine? Mimi nashauri mwende uwanjani kwanza, halafu mkitoka baadaye jioni ndio mfanye hilo kongamano!
 
Hii ni sawa kabisa, nilichukia sana kile kipindi akina Mbowe na viongozi wengine wa cdm kukodi ndege na kwenda kwenye sherehe ya Uhuru mwanza, kisha wakataka maridhiano na Magufuli huku akiwapuuza. Hakuna kufanya jambo lolote kwa kuwanyenyekea ccm, wala kuchanganyika nao.
hilo Litafanyika makao makuu ya Chama Nje ya Jiji la Dar es Salaam huko kinondoni mtaa maarufu sana wa Ufipa tarehe 9/12/2021

Muhimu : Tufuate mwongozo wa WHO wa kujikinga na maambukizi ya Corona .

Wote Mnakaribishwa

View attachment 2025673
 
Wote Mnakaribishwa
Nitahudhuria
kobys-smile.png
 
Back
Top Bottom