Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Baraza la vijana CHADEMA (BAVICHA) Kesho watafanya Kongamano (Vuguvugu) LA kupinga ubaguzi wa Rangi unaofanywa na Ccm kule Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.
Tunaomba ushirikiano wenu wa hali na Mali ili kufikisha ujumbe huu kila kona ya nchi hii,na kukomesha kabisa Ubaguzi huu ambao unaelekea kuliingiza Taifa letu kwenye machafuko makubwa sana.
Aidha Vuguvugu hili litahudhuriwa na vijana wote bila kujali vyama vyao kwa kuwa ubaguzi huu una madhara kwa kila mmoja wetu,
Mzungu mzaji wa Kongamano hili ni Viongozi mbalimbali pamoja na Msemaji wa Baraza hilo EDWARD SIMBEYE ,Tunaomba mfike wote bila kukosa
Wasalamu
Edward SIMBEYE
Mwenezi BAVICHA Taifa