Siamini na hainiingii akilini wanasiasa wote wale na mali wanazomiliki wameshindwa kulipa hizo pesa za hukumu.
Ninachokiamini hawa jamaa wanajaribu kutuaminisha wao ni wanyonge na masikini kwahiyo waonewe huruma.
Shangingi 2 zinatosha kutoa hio pesa, hakukuwa na sababu ya kuomba michango kuongopea watu nyie ni maskini.
Mimi sio na sitaki kumsemea hakimu ila nnachojaribu kusema wabunge zaidi ya 8 (wanaopokea 7M per month) kutoka chama kinachopokea ruzuku na misaada ya nje kuchangisha M350 ili kuwin the public ni fedheha kubwa.
Hio nguvu ya kuchangisha tunaomba waianze kwenye shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao yaliyotelekezwa.
Usijibu kwa hisia nchi yetu sote,pande zote zinaweza kukosea.
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako ni mvivu wa kufikiri. Viongozi wa chadema walikuwa wanapigania haki y kuchagua ya Watanzani. Huwezi sema walipe faim hii wenyewe. Najua unajifanya umjinga lakn lengo lako nikuwakatisha tamaa Watusijitolee. Inaelekea umetumwa ni shetani lile la polepole la ua