CHADEMA kuanika kilichotokea Chalinze leo

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.

Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?

Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze
 
Last edited by a moderator:
tunasubiri kusikia na upande wa pili
 
Tushawazoea hawana jipya, hapo wanataka kusema wameibiwa kura, wakati inaonekana wazi walikuwa hawakubaliki CHALINZE, kwanini kila mara CHADEMA haitaki ku-deal na chanzo cha kuanguka kwake? wao kila mara ni kuleta sababu za uongo ambazo hazina uhusiano hata kidogo na kuporomoka kwake.
Nadhani mngekaa chini na kutafakari kwanini kila uchaguzi mnatimuliwa vumbi, kuliko kuita waandishi na kuanza kutoa tuhuma za kitoto kila mara!
 
Naomba muandamane kabisa naona mbinu zenu za sumu zimekwama.
 
Tushawazoea hawana jipya, hapo wanataka kusema wameibiwa kura, wakati inaonekana wazi walikuwa hawakubaliki CHALINZE, kwanini kila mara CHADEMA haitaki ku-deal na chanzo cha kuanguka kwake? wao kila mara ni kuleta sababu za uongo ambazo hazina uhusiano hata kidogo na kuporomoka kwake.
Nadhani mngekaa chini na kutafakari kwanini kila uchaguzi mnatimuliwa vumbi, kuliko kuita waandishi na kuanza kutoa tuhuma za kitoto kila mara!

weka ww ukwel
 
chadema ni chama changu na ntakufa nikiwa muumini na shabiki nguli wa chadema..lakini kwa hili la chalinze hata mngefanyaje msingeweza kushinda bana...yaani wakwere waache kumchagua mtoto wa Kikwete????? wanaishi miaka nenda rudi nyumba moja na bata na kuku wanaona sawa leo mtawaambia mnaleta mabadiliko? hebu acheni bana
 
kigogo, umetamka vyema mkuu

chadema ni chama changu na ntakufa nikiwa muumini na shabiki nguli wa chadema..lakini kwa hili la chalinze hata mngefanyaje msingeweza kushinda bana...yaani wakwere waache kumchagua mtoto wa Kikwete????? wanaishi miaka nenda rudi nyumba moja na bata na kuku wanaona sawa leo mtawaambia mnaleta mabadiliko? hebu acheni bana
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.

Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?

Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze

Pamoja na kuwa CCM wangeshinda lakini mbinu hizi zinatumika purposely kukatisha taama wagombea pamoja na wapiga kura wenyewe, jamaa wanahakikisha wanachakachua ili tupate kura za ''aibu'' ili tunyong'onyee
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-Chadema leo kitatoa kauli ya awali kwa umma kupitia vyombo vya habari juu ya uchaguzi mdogo wa Chalinze ambapo kimebaini njama very serious ambazo zimetumika kupika na kutengeneza ushindi wa CCM.

Akizungumza kwa ufupi Msemaji wa chama hicho Tumaini Makene amesema Kama mgombea wa chama hicho na chama chenyewe walikuwa wanakubalika kama wanavyosema, kwa nini zimetumika njama hizo?

Makene amesema taarifa watakayoitoa itaanika ukweli wote wa yaliyotokea Chalinze

Hilo ni jema nadhani pia mmefuata ushauri wangu kwamba baada ya kipigo cha Chalinze sasa mtakuja na majumuisho ya kuanzia Chopa 3 kata 3 kisha mtawaambia misukule yenu kipigo cha Kalenga na Mzungu mweusi Mgimwa Resource zote za Chama kuanzia wabunge,chopa,magari na nguvu kazi toa Arusha na Moshi hatimaye kuambulia kura 5000 mtasema pia kipi kilichowapata Chalinze kuambulia 10% ya kura zilizopigwa ila sitaki msingizie Uboreshaji wa daftari coz waliojiandikisha wakiwa na miaka 18 sasa wana 22 na waliojiandikisha wakiwa na miaka 20 sasa wana miaka 24 kwa hiyo vijana kibao wapo ktk daftari la sasa nadhani ukija uchaguzi wowote mwingine mtapata 5% watu wanapiga deal tu.
 
Last edited by a moderator:
CCM inahitaji jino kwa jino ila WaTanganyika hampo tayari mnahogopa kufwa ,Si mmeona WaZenji wametia mguu mpaka Ikulu ,yaani kilieleweka.
 
Kweli myasemayo, CCM lazima itakuwa imefanya njama kuhujumu ushindi wa CHADEMA.

Kwanini msiende moja kwa moja mahakamani badala ya kurusha maneno kupitia matamko!?

Mimi naamini mkienda mahakamani basi Ridhiwani atavuliwa ubunge na yule mgombea wenu, Toron-Gay atavalishwa ubunge. Au mnaonaje hapo?
 
Waache utoto...tatizo liko kwenye chama chenyewe..wananchi sisi sio wajinga tunajua na tunasikia mnyukano ndani ya chama chenu kisa posho chama kinachopata baada ya kuwa na wabunge wengi. Sasa kwanini waongeze shida kwenye chama kwa kuongeza posho ili muuane kabisa?
 
kwa upande wangu naona Chadema kushinda Chalinze ingekuwa ngumu kiasi kwasababu hadhi ya mgombea wa CCM kwa wanachalinze ni kubwa ingawa hana lolote zaidi ya kubebwa na jina pengine na dola pia, vilevile fikra za watu wachalinze sio fikra sawa na za watu kama wa Musoma,Mwanza, Mbeya na kwengineko ambao ni rahisi kubadilika kifikra.
nashauri muangalie hasa kwasababu ipi mmeshindwa kwa tofauti kubwa ya kura kote Chalinze na Kalenga. nahisi kutoboreshwa kwa daftari la wapiga kura kunachangia sana matokeo haya.
 
Waache utoto...tatizo liko kwenye chama chenyewe..wananchi sisi sio wajinga tunajua na tunasikia mnyukano ndani ya chama chenu kisa posho chama kinachopata baada ya kuwa na wabunge wengi. Sasa kwanini waongeze shida kwenye chama kwa kuongeza posho ili muuane kabisa?

21,000-92,500=ccm ina mizizi
kuanzia matawi hadi taifa!
 
Hii mijamaa inakera sana,hayakubali kushindwa,wao kila uchaguzi lazima watoe lawama
 
Tushawazoea hawana jipya, hapo wanataka kusema wameibiwa kura, wakati inaonekana wazi walikuwa hawakubaliki CHALINZE, kwanini kila mara CHADEMA haitaki ku-deal na chanzo cha kuanguka kwake? wao kila mara ni kuleta sababu za uongo ambazo hazina uhusiano hata kidogo na kuporomoka kwake.
Nadhani mngekaa chini na kutafakari kwanini kila uchaguzi mnatimuliwa vumbi, kuliko kuita waandishi na kuanza kutoa tuhuma za kitoto kila mara!
Mbona kipele wewe kila kitu kihusucho CCM unakuwa na kiherehere au kwa kuwa ndio unakoshibia?Hivi huwezi subiria then after that na wewe ukatoa maudhui yako??Tatizo la CCM hamtaki kuongelewa kila siku mnaona nyie tu ndio mko juu ya sheria Mkuu subiria acha papara kama unaandika ukiwa juu ya mti.Subiri maelezo kama mleta mada alivyosema then kaa uchambue then njoo humu tena halafu mwaga wino ili kila upande uelewe nini kilichotokea na kama ulivyosema kama Chadema haawataki kukubali kushindwa then kama maandiko yako yatakuwa na uzito basi Chadema watajirekebisha.Usiwe king'ang'anizi kama wenzako walioko Dodomo kulazimisha Rasimu yao ipite wakati Rasimu iliyopo na inayohitaji kufanyiwa kazi ni ya jaji Joseph Warioba na si nyingine kama iliyoletwa na wenzako wa CCM.Kaa tulia subiria kitu kama umeshindwa kukikalia basi neda ncho mdogo mdogo haadi ulainike na kiingie
 
Back
Top Bottom