Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.
"... kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima..."
Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.
na kigogo mwenyewe ni Tambwe Hiza!kumbe habari imetoka kwa mwana CCM ....basi habari hii ni propaganda

Wishful and cheap thinking. Sikuwa nikifahamu kuwa huyu mtu anayejiita mwiba ni mpuuzi kiasi hiki. Kwa kuanzia tu CCM ya sasa si ile ya Nyerere iliyoliletea heshima kubwa Taifa letu na kutufanya tujulikane ulimwenguni bali hii ya sasa ni ya vibaka, wezi, matapeli na majambazi. Ukweli huo ndiyo unaoifuta dhana ya ati CCM ni ya Mwalimu Nyerere, bali watanzania wote sasa tunafahamu kwamba CCM ya Nyerere ilishatekwa nyara, tena kabla hata ya kifo chake kwa Azimio la Zanzibar.Msema kweli mpenzi wa Mungu ,sasa inabidi niwambie ukweli ambao nimeupata kutoka kwa kigogo mmoja wa CCM ambae anaushawishi mkubwa kabisa ndani ya Chama ,chama ambacho kinafuata itikadi na mwenendo wa baba wa Taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ,mzalendo alieiwezesha Tanzania kufika hapa ilipofikia na kuweza kujulikana ulimwengu mzima.
Habari zinasema kuwa kama kufa basi Chadema itakufa na kusahaulika kabisa na pengine kujulikana kwakwe itakuwa Chama kilichokuja juu kama uyoga na kufa kama uyoga.
WaTanzania walio wengi wameanza kuona ubabe,ubeberu,ubepari unyanyasaji unaofanywa na chama hiki cha ajabu chenye kauli zinazobadilika kama rangi ya kinyonga.Chadema kama inavyojulikana kuwa ni chama cha kkijadi au chenye itikadi ya ukabila na udini mbele ,kimekuwa kikianguka kila siku ingawa kinapoanguka huzusha jipya na kupata wafuasi na baadae wafuasi hukikimbia kutokana na umangimeza ulio ndani ya chama hicho.
Uchaguzi wa 2015 ndio utakaoimaliza na kuisambaratisha Chadema ,CCM ambao hadi hapa tulipo wameshaanza kujenga mazingira ya ushindi na kujinyakulia ushindi mnono wa uchaguzi wa 2015 ,mgombea wa Chadema Safari ambae hakubaliki na jamii huenda akapambana na Salim Ahmed wa CCM.
Unaweka facts ikiwa kama unazungumzia Chama chenye kuonyesha uzalendo ,lakini hawa jamaa ni wajuaji kuliko unavyowafahamu ,na hizo facts za kuziangalia zipo tele ,kwa uchache angalia madai yao pale bungeni na yale majina yao waliyoyataja ya mafisadi kwenye majukwaa ya mikutano ni kupoteza wakati wa wananchi, jiulize madai yao yamefikia wapi ? Hawa huwaamsha wezi tu hio ndio kazi yao ,yaani wao ni kama indicators ,wabunifu wao CCM(CDM ni mtoto wa CCM) ,CCM waliiunda CDM kuwa chama mbadala au chama cha kuusambaratisha umma wa Taifa hili kama tuonavyo ,wezi wanapeta ,mafisadi wanatetewa na haohao Chadema ,si unamuona yule wanaemuta Zitto msaliti.
inaongelewa hoja ingine unaleta utumbo, mseto wa cuf na ccm unahusika nanini hapa ktk mada hii?roho zitawauma sana mwaka huu,wazenj wanaenda mbele nyie kazi malumbano tu.