Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.
Kumbe 'porojo' zao zinakuvutia hata wewe
muda c mrefu Mungu atatutenganisha na viumbe jamii yanu sio binadam wa kawaida mnaokataa hadi kazi zake.
Sivutiwi nazo, "Get to know your rivals" - Genghis Khan.
Duh! na mchungaji wenu mkuu kashindwa hata kuchunga "..." waliopotea, (zamani nilikuwa nasema kondoo) baada ya kuisoma biblia na kujuwa kuwa kondoo waliopotea ni Wayahudi pekee, naona taabu kuyaandika majina mabaya mlioitwa kwenye biblia msiokuwa Wayahudi. Poleni sana.
Sasa wewe unaamini aliyekuumba anaweza kukuita nguruwe na mbwa? hivyo ndivyo muitwavyo kwenye bibilia, Fikiri.

Faiza si kweli kwamba umeisoma Biblia na kuielewa si kitu rahisi namna hiyo
Ulichofanya wewe na critics wengine wa Biblia ni kuchukua mistari michache na kuipa tafsiri waitakayo wao
Huyu FAIZA ni mnywa gongo kama nape na kinana
Bado tunahitaji kumuelimisha kwa njia hii ili hatimaye awe mmoja wetu kwa mitazamo yoyote ile
Ni kweli kamanda mshana jr...Taifa ni lazima likombolewe...hata nape ni lazima arudi kwenye harakati za Ukombozi. Ni njaa tuu zinamsumbua nape..
Mbeya,delete kabisa ccm, futa kabisa!
Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.
Hata mimi siku sina kazi na nikiona jirani kuna mkutano wa chadema huwa naenda kuwasikiliza porojo zao.
Mmmh..mikutano watu wengi kwenye sanduku lla kura watu zero....chadema ....
JF kuna viumbe viatu watu jamani!! ona huyu sheikh anayejifanya kuijua bible!!Duh! na mchungaji wenu mkuu kashindwa hata kuchunga "..." waliopotea, (zamani nilikuwa nasema kondoo) baada ya kuisoma biblia na kujuwa kuwa kondoo waliopotea ni Wayahudi pekee, naona taabu kuyaandika majina mabaya mlioitwa kwenye biblia msiokuwa Wayahudi. Poleni sana.
Sasa wewe unaamini aliyekuumba anaweza kukuita nguruwe na mbwa? kwa kuwa tu si Myahudi! hivyo ndivyo muitwavyo kwenye bibilia, hizo ndizo "kazi zake"? Fikiri.
faizafox mambo vipi dada angu, naomba namba zako za simu nina maongezi muhimu sana
Jivike ukichaa tu!kiwira ndio wapi?