PreGE2025 CHADEMA Kinondoni: Ukimya wa Freeman Mbowe unatia shaka, ajitokeze hadharani kusema kama anawapa baraka G55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
980
Reaction score
3,646
WAFUASI na Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kinondoni wamemtaka Freeman Mbowe, Mwenyekiti Mstaafu wa chama hicho, kutoka hadharani kueleza kama anaubariki upande wa chama hicho unaodaiwa kuzua mpasuko ndani ya chama hicho (G55), au hana baraka nao. Aidha viongozi hao wameshangazwa na ukimya wa kiongozi huyo pamoja na kutoshiriki shughuli za ujenzi wa chama.

Pia soma

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani ana lazima ya kusema? Why Mbowe, kwani kuna mtu amem implicate in that saga? ttafuta ushahidi kwa huyo kama yupo
 
Kuna hii nukuu ilitolewa kabla ya huo uchaguzi wa ndani.

"Hakuna chama cha siasa chenye akili duniani kinaweza ruhusu Mwenyekiti na Makamu wake wakashindana hata kama kuna Demokrasia".

Haya yanayotokea hata angeshinda Mbowe yangetokea tu,nyuma ya hii hamahama kuna mtu ndiyo maana wote utaona hawasemi wataelekea wapi mpaka huyo mtu atakapoibuka na kumaliza pambano.
 
Kwani ana lazima ya kusema? Why Mbowe, kwani kuna mtu amem implicate in that saga? ttafuta ushahidi kwa huyo kama yupo
Kama hana "lazima ya kusema", acha wanao sema wajazie kwenye doti doti ambazo angepashwa kuzijazia yeye.

Yaani huoni ajabu ya mtu ambaye heshima na sifa zote alizo wahi kuwa nazo zikitokana na chama; halafu ghafla hana lolote la kusema juu ya chama kilichompa sifa hizo?
 
Mlimtukana sana,yupo busy na biashara zake , anakaa Machame.
 
Kama kusoma hujui hata picha huoni? Hivi kauli za G-55 na wote wanaojiondoa zinahitaji tena Mbowe aseme nani yuko nyuma yao? Yeye ndiye amekabidhiwa fuko la kugharamia hiyo operesheni. Hii operesheni inaundwa na utatu ambao ni TISS, CCM na Mbowe mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…