Dr.Mo
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 3,809
- 1,653
wamekua sifuri baada ya kuwataadharisha CUF kwamba wamejiunga na umoja unaosupport ushoga sio...? in other words wewe unaona ni sawa CUF kuwa kwenye huo umoja sio....Hiki kizazi chetu hichi...medulla hazifanyi kazi kabsaaCHADEMA hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". CHADEMA sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa CHADEMA ni SIFURI...