CHADEMA kinazidi kupoteza umakini

CHADEMA kinazidi kupoteza umakini

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
kwa mwenedo wa chama cha CHADEMA ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa CHADEMA wajitafakari they are going to grave
 
mipasho tumwachie hadija kopa km siasa wamezichoka bora wajibadili kuwa bendi ya taarabu
 
Kama CHADEMA hawana umakini basi CCM sasa ni Imara kuliko kipindi cha Nyerere na Jumbe.
 
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Huyu Liberal sio bure,njaa uchumiwa tumboni ila wewe unachumia nnya
 
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Wamemtukana nani? Tusi gani walitoa? Litaje!

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
CHADEMA hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.

Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". CHADEMA sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa CHADEMA ni SIFURI...
 
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.

Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
Mr(ccm)&Mrs(cuf) Liberal....sawa sawa...
 
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.

Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
Unataka kutuambia wamekosa umakini kutuambia CUF wamefungamana na waliberali? Kama hivyo ndivyo una mtindio wa ubongo.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave

ww ndiye utakaoenda huko kama ID yako
 
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.

Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
Mliberali ZeMarcopolo vipi Ndoa yako ni lini?
 
Last edited by a moderator:
jamaa wangekabiziwa nchi sijui wapinzani wao wangepta nafasi mana leo wapo upinzani wapinzani wenzio wanawatukana eti wao ndo kilakitu kweli nimaboya
 
Vinara wa uropokaji wameshaomba radhi bungeni. Mmebakia nyinyi tu walaghaika.
Hawakuomba radhi kwamba walichokisema ni uwongo isipokuwa ukweli umepingwa kwenye jopo(CCM na CUF) la mashetani...siku inakuja mashetani watalikimbia Bunge
 
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave

Siku zote anaye ambiwa ukweli hukimbilia kusema matusi na lugha za kuudhi....hata Lowassa alisema maneno haya juu ya kamati ya Mwakyembe!
Kuhusu kushuka umakini...this is based on your own constricted outlook!
 
jamaa wangekabiziwa nchi sijui wapinzani wao wangepta nafasi mana leo wapo upinzani wapinzani wenzio wanawatukana eti wao ndo kilakitu kweli nimaboya
We mwenyewe boya,tena bwattyboy unakana sera zako,angalieni msijeigeuza Tanzania ikawa Malawi
 
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.

Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...

Lakini sio SUFURI
 
Back
Top Bottom