CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

CHADEMA kinapotea rasmi chini ya Katibu Mkuu "mchina"

Haya kachukue buku 7 au msalimie mtuhumiwa wa rushwa zito kabwe
Zitto ni shujaa na mzalendo.....lowasa amepitiliza kutoka mla rushwa hadi ufisadi.....yumkini kawaambukiza hata wakweze.
 
mtoa post namshauri ale vichwa vya samaki kwa wingi manake vinasaidia kukomaza akili!
 
Ngoja nikanywe bia kwi kwi kwi kwi kwivkwi
Ni kweli hayo unayoyasema. Lakini hayo yamepatikana baada ya msingi alioweka Dr. Slaa kama katibu mkuu, na msingi ule aliendeleza naibu katibu Mkuu Salum Mwalimu. Niambie tangu uteuzi wa katibu mkuu wa saa kipi kinaonesha mwelekeo wa matumaini mapya? Hayo yote unayoongelea muda si mrefu kwa hali jinsi ilivyoanza kuonekana, yatabaki hadithi. Labda wabunge maarufu kina Lisu wafanye juhudi binafsi ya kujibakiza mjengoni. Lakini wale goigoi wote wanaotegemea nguvu ya chama iwe wabunge au madiwani wasahau kabisa.
Ruzuku ya chama imeongezeka kwa sasa ni asilimia inayokaribiana na ccm baada ya kupata karibu 40% ya kura zote za urais
 
teteteeeee hivi Ni vichekesho toka Lumumba. Mlitabili chadema itakufa 2013..chimo mlilolichimba karibia mdumbukie nyinyi. Tumbuaneni huko kwanza na mzitekeleze sera za chadema la sivyo isahauni ikulu 2020!
 
Kila siku mnaota hizo ndoto, hamjazoea tu? Mtasubiri saaaaaaaaaana!. Endeleeeni kuwanga.
 
Back
Top Bottom