CHADEMA kinaishi kwa kuvizia skendo

naomba unipe growth rate ya CCM? then ulizanganishe na chadema
 
Mahali popote duniani MATUKIO YANA NAFASI YAKE. Mabadiliko na mapinduzi tote yalitokana na MATUKIO. Tofauti na huku ni kwamba Tz kuna matukio Mengi na mazito zaidi. CDM waendelee kuyatumia tu vizuri!!!
 
matukio gani? ya wizi? kumbe wanyamaze muendelee kuiba? kafulila nae niwachadema?escrow mmeiba au ni uongo? mkuu wa kaya VP kigugumizi kilitoka wapi?
 
kuna mnyama anapenda kula nyama ila huwa no muoga kwa wakati mwingine akion MTU BA's huja nyuma akizanimkono utadondoka apate chakula

chama cha siasa makini huandaa Sera na mikakati, kuandaa viongozi imara kuanzia ngazi ya mtaa had I ngazi ya taifa,kujenga ofis imarana kuwalipa viongozi wa ngazi chini ili wasihujumu chama kwanjaa walionayo.
pia kutangaza Sera na mikakati mbadala ya kuwafanya wananchi wavutike na wachague wagombea kwa Sera na mikakati.
Aibu kubwa ni kuwa Chadema inaiishi kwa matukio. Richmond alishikiabango Dk slaa ss escrow imesaidia kupata baadhi ya wenyeviti wa mitaa na wajumbe. km ulisikiliza kampeni za chadema MTU hasemi Sera ila escrow hivo so kura km umeeleza Sera wananchi wakakubali Bali wanapiga kura kwa anger.
ndio maana pamoja na skendo zote growth rate ya chadema ni10%.hivo mpk ifike 51% itachukua 50years.
vivo chadema wanaishi kama fisi pori kusubiri skendo ili iwe manifesto je kusipotokea skendo.??

think critically
Argue don't shout!!!!
Ni mawazo na mtazamo wako! au umeletewa tu na kuagizwa uandike kama ilivyo! Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako.
 
kuna mnyama anapenda kula nyama ila huwa no muoga kwa wakati mwingine akion MTU BA's huja nyuma akizanimkono utadondoka apate chakula

chama cha siasa makini huandaa Sera na mikakati, kuandaa viongozi imara kuanzia ngazi ya mtaa had I ngazi ya taifa,kujenga ofis imarana kuwalipa viongozi wa ngazi chini ili wasihujumu chama kwanjaa walionayo.
pia kutangaza Sera na mikakati mbadala ya kuwafanya wananchi wavutike na wachague wagombea kwa Sera na mikakati.
Aibu kubwa ni kuwa Chadema inaiishi kwa matukio. Richmond alishikiabango Dk slaa ss escrow imesaidia kupata baadhi ya wenyeviti wa mitaa na wajumbe. km ulisikiliza kampeni za chadema MTU hasemi Sera ila escrow hivo so kura km umeeleza Sera wananchi wakakubali Bali wanapiga kura kwa anger.
ndio maana pamoja na skendo zote growth rate ya chadema ni10%.hivo mpk ifike 51% itachukua 50years.
vivo chadema wanaishi kama fisi pori kusubiri skendo ili iwe manifesto je kusipotokea skendo.??

think critically
Argue don't shout!!!!
Na nyie mnavizia nini? Rushwa, ufisadi na wizi
 
sisiem Ndio wameanza kuvizia na kukwapua sera za CHADEMA eti shule bure! c ajabu tukackia afya bure! poa tu! but tunajua kuwa mmeiba sera za chadema! haijalishi mtatekeleza or not chadema inawaburuza kweli!! yetu macho! tunachotaka maendeleo!!
 
Ni ajabu kuwa kuna watu katika miaka 50 bado wanataka kusikiliza sera!! Nchi hii haihitaji sera (kila mtu anajua nini mahitaji yake binafsi na nini mahitaji ya taifa). Tunahitaji a) Ufanisi b) Uwajibikaji na c) Kukomoesha rushwa na ubadhirifu!!

Watu wa aina yako hawahitajiki katika miaka hii. Rudi kwenu miaka ya 1700!!!
 
Nimefurahia sana mwenye kuuleta uzi huu. Kweli, CDM wamebaki kuwa ka fisi pori. Hawa windi bali kungoje mizoga ya welio ua wengine. Mbona ndo ukweli??
Basi hao Simba pori, ueni kuleni mmalize ili mizoga ikosekane CDM wafe njaa. Siku CCM mkiweza kukaa siku moja tu bila skandali, CDM watasambaratika.
CCM ni chama kitakacho jiua chenyewe kwa mchafu wanayo tenda. Kila kukicha kuna uozo mnaacha njiani mnako pita. CDM wanawaonesha watz huo uozo wenyu.
 
Chama cha siasa makini huandaa Sera na mikakati, kuandaa viongozi imara kuanzia ngazi ya mtaa had I ngazi ya taifa,kujenga ofis imarana kuwalipa viongozi wa ngazi chini ili wasihujumu chama kwanjaa walionayo
.
Pia kutangaza Sera na mikakati mbadala ya kuwafanya wananchi wavutike na wachague wagombea kwa Sera na mikakati.
Aibu kubwa ni kuwa CHADEMA inaiishi kwa matukio. Richmond alishikiabango Dk slaa ss escrow imesaidia kupata baadhi ya wenyeviti wa mitaa na wajumbe. km ulisikiliza kampeni za chadema MTU hasemi Sera ila escrow hivo so kura km umeeleza Sera wananchi wakakubali Bali wanapiga kura kwa anger
.
Ndo maana pamoja na skendo zote growth rate ya chadema ni10%.hivo mpk ifike 51% itachukua 50years.
vivo CHADEMA wanaishi kama fisi pori kusubiri skendo ili iwe manifesto je kusipotokea skendo.??

think critically
Argue don't shout!!!!

Skendo zilivyonyingi hivi kuna watu wanasubiri kweli?
 
kabisa kwakuwa chadema inaishi kwa kuvizia skendo basi ccm wasifanye skendo watakuwa wameiua chadema lakini kwa upumbavu huu wa ccm kuwa eti mwaka 2016 elimu bure wakati kikwete amemaliza muda wake bila kufanya hivyo mbaya zaidi akiongeza gharama kibao mara pesa ya mlinzi,majengo madawati, mitihani yaani ni use mtupu..
Elimu bure wakati jana wamewavunja miguu wadogo zetu kule UDOM waliokuwa wanadai posho zao. Wataweza kutoa elimu bure??
 
Back
Top Bottom