John Tendwa anayo ya kwake, Mboma pia anayo, Liundi naye alipostaafu tu nafasi ya Msajili wa vyama akaitowa kabatini kadi yake ya CCM na akagombea Ubunge wa Afrika Mashariki. CCM hana rekodi wala haijui wanachama wake.Hata Dr Slaa nasikia hajarudisha kadi ya CCM
Hivi nikikuuliza swali dogo tu unaweza kunijibu?Siasa ni sayansi na siasa ni sanaa.
Kwa tafsiri ya Mwanakijiji, Zamani moja ya sifa za Scholarship kadi ya CCM ilikuwa inahusika, what i mean si kila aliyewahi kuwa na kadi ya CCM bado ni MwanaCCM mpaka leo na hapa ndipo penye msingi wa hoja yangu kwamba huu ni udanganyifu, wengine walichukuwa kadi za CCM kama njia ya kupitia tu. Umeelewa!?
Hivi nikikuuliza swali dogo tu unaweza kunijibu?
Ni kwa nini Chadema wakati inapigania kuchukuwa dola mwaka 2010 wewe ulikuwa bize kuhamasisha watu wajiunge na CCJ?
unapotoka. fuatilia umuhimu wa uanachama sio kupigiwa kura tu.You can not exactly ascertain this, as a person can be a member of more than one party at a time. And also, it's very unwise to think that all of your party members will vote in favour of your party. So to me, this question is absolutely irrelevant & immaterial. What matters most is how many are supporting a party (not necessarily party members by subscription, though this aspect might also be rarely important)
na kuna watu wana kadi zote
za ccm na chadema
Ni syansi ya sanaa au sanaa ya sayansi
Kuna ugonjwa fulani MMM ameanza kuugua siku za hivi karibuni,ni jambo la wakati tu utajidhihirisha wazi
The silent majority is an unspecified large majority of people in a country or group who do not express their opinions publicly.[SUP][1][/SUP] The term was popularized (though not first used) by U.S. PresidentRichard Nixon in a November 3, 1969, speech in which he said, "And so tonight-to you, the great silent majority of my fellow Americans-I ask for your support."[SUP][2][/SUP] In this usage it referred to those Americans who did not join in the large demonstrations against the Vietnam War at the time, who did not join in the counterculture, and who did not participate in public discourse. Nixon along with many others saw this group of Middle Americans as being overshadowed in the media by the more vocal minority.
The phrase was used in the 19th century as a euphemism referring to all the people who have died, and others have used it before and after Nixon to refer to groups of voters in various nations of the world.
Nimekopi hayo maelezo kuhusiana na silent majority kwasababu nimeona relevance kwa topiki hii, labda hizi kelele zote zinazopigwa ni za watu wachache sana kwenye jamii ya watanzania, labda CCM na CDM put together hawajai hata mkononi. Swali ni je CHADEMA inafanya nini kuwahamsha hawa silent majority kama Nixon alivyofanya kwenye 1969 speech.................hawa wanachama kama nilivyosema ambao hawajai kiganjani wana tija yoyote katika ku determined muelekeo wa chama cha Upinzani?
Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
Nikikuita huna akili sidhani kama nitakuwa nimekutukana au nimekuvunjia heshima. Wewe huna akili. full stop.kwa mfano nikikuuliza unabeba kadi ya CCM mpaka leo,wakati nakuona umu unaishabikia CHADEMA..dhumuni haswa kubwa ni nini la kuendelea kuwa mwanachama wa CCM??
Au CHADEMA haiaminiki bado ata na wanaoiubiria harakati zake??