CHADEMA kina wanachama wangapi?

Bado watu wanazungumzia wanachama million 8, my foot. kwenye jukwaa hili tumewahi kuhoji chanzo cha takwimu hizi
lakini watu wakaingia mitini na sasa wanarejea na takwimu za uanachama za kupikwa. Bila
shaka watu wana matatizo ya uelewa

Cdm siyo genge la kihuni kama ccm,cdm ni taasisi iliyojipanga kimkakati huwezi kuifananisha na genge la majangili ccm
 
Mimi nadhani MM ana hoja pia. Maana ni vyema chama cha siasa kuwa na records za wanachama wake. Zamani enzi za chama kimoja ilikuwa si rahisi kupata kadi ya chama hadi umepata mafunzo. Kipindi hicho CCM ilikuwa ni chama chenye itikadi inayoeleweka na wanachama waliipignania kwa kuipenda tofauti na sasa ambapo ni maslahi ndiyo yanawafanya watu kuwa wanachama. CDM pia katika hatua za awali itafute takwimu za wanachama wake maana itasaidia hata kufanya makadirio ya mapato yatokanayo na ada ya wanachama.
 
Unapoelekea uchaguzini idadi ya wanachama siyo issue ila idadi ya mashabiki na wapigakura ndiyo habari ya mjini
 
Ni sawa na kutoa takwimu ya dagaa na samaki walioko Ziwa Victoria:teeth:. @Makomeo
 

hebu tutokee hapa na ww..
 

Mzee Mwanakijiji

Kuwa na Wanachama wengi sio suluhisho na nadharia ya kushinda KURA...

Kuna vipengele vingi na sio idadi ya wanachama kinapelekea Vyama Kushinda...

Mfano; USA DEMOCRATIC PARTY kina Wanachama weng haswa; Kinachoshangaza ni kuwa RURAL WHITES ambao ni poor as much as some blacks they Vote republican even though FOOD STAMPS & LOW INCOME CREDIT CARD zilianzishwa wakati wa Serikali ya DEMOCRATIC PARTY...

Lakini Miaka ya 1950s Repblican ndicho kilichokuwa chama cha wapenda haki na SLAVERY ABOLISHED -- Ni DEMOCRATIC PARTY inayopata votes zote hata kama hawataisaidia ETHNIC yao... wamebacki kuwa LOYAL

HENCE; Factors such as LOYALTY; CHARACTERS; REGIONAL AFFILIACTIONS etc ndio factor kubwa za chama kushinda na sio IDADI ya WANACHAMA hao ndani ya hicho chama...
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…