Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,175
- 43,935
Kwa kuanzia ni lazima 2hoji hiliHadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
Mzee Mwanakijiji kama una jambo lingine la maana kujadili au kuwashauri ni bora ungefanya hivyo, Dr Exavery Lwaitama ni kada wa CCM na hata mimi Matola ni kada wa CCM, wacha kujishughurisha na takwimu za uwongo zisizo na takwimu za waliohama chama na waliofariki.Hadi mwaka 2010 Chama cha Mapinduzi kilikuwa na wanachama takribani milioni tano kwa mujibu wa alkiyejuwa katibu mkuu wakati ule Bw Yusuph Makamba. Idadi hii ni ongezeko kutoka wanachama milioni tatu hivi waliokuwepo mwaka 2000. Ili kuweza kuelewa mwelekeo wa chama kikuu cha upinzani nchini na hasa kukubalika kwa ajenda yake ni vizuri kujiuliza CDM sasa hivi sasa wanachama wangapi wente kuveba kadi? Na wanachama hawa wametawanyika vipi katika nchi yetu?
na kuna watu wana kadi zote
za ccm na chadema
Mzee Mwanakijiji kama una jambo lingine la maana kujadili au kuwashauri ni bora ungefanya hivyo, Dr Exavery Lwaitama ni kada wa CCM na hata mimi Matola ni kada wa CCM, wacha kujishughurisha na takwimu za uwongo zisizo na takwimu za waliohama chama na waliofariki.
Takwimu unayotueleza wewe hapa ni tangu kuanzishwa kwa CCM, natowa Offer ya $ 100 aje hata katibu tu wa tawi la CCM atuthibitishie ni lini aliwahi ku update reja yake ya wanachama kwa kuwaondowa walioamia vyama vingine na waliokufa, nina uhakika wa 100% hakuna wa kuichukuwa $ 100 yangu. Si kweli hata kidogo kwamba eti CCM ina wanachama millioni 5.
Hi thread ni useless kwangu kwa sababu mimi binafsi si mwanachama wa Chadema lakini ni zaidi ya Mwanachama. ni kwa nini tusiwaige Wasouth Afrika ambao wao itikadi iko moyoni? sijawahi kuona bendera za vyama vya siasa mitaani South Afrika zaidi ya Head qouters. Wewe Mwanakijiji unaishi Marekani unataka kuniambia Obama anatalajia kushinda kwa sababu Democratic ina wanachama zaidi?
Kwa tafsiri ya Mwanakijiji, Zamani moja ya sifa za Scholarship kadi ya CCM ilikuwa inahusika, what i mean si kila aliyewahi kuwa na kadi ya CCM bado ni MwanaCCM mpaka leo na hapa ndipo penye msingi wa hoja yangu kwamba huu ni udanganyifu, wengine walichukuwa kadi za CCM kama njia ya kupitia tu. Umeelewa!?duh kumbe Matola ni kada wa CCM.
Sikutegemea mtu kama MMM aje hapa na hadithi za kumquote Yusuf Makamba, huku ni kupungukiwa kwa hekima na maarifa.Kuna ugonjwa fulani MMM ameanza kuugua siku za hivi karibuni,ni jambo la wakati tu utajidhihirisha wazi
Sikutegemea mtu kama MMM aje hapa na hadithi za kumquote Yusuf Makamba, huku ni kupungukiwa kwa hekima na maarifa.
Hivi hii JF ina hawa Members?
Registered Members: 96,985
Sikutegemea mtu kama MMM aje hapa na hadithi za kumquote Yusuf Makamba, huku ni kupungukiwa kwa hekima na maarifa.
Hivi hii JF ina hawa Members?
Registered Members: 96,985
Ni syansi ya sanaa au sanaa ya sayansiSiasa ni sayansi na siasa ni sanaa.