CHADEMA Kimetuangusha Watanzania

wakati mwingine lazima tuelewe kazi ya vyama vya siasa, pamoja na kutaka kuchukua dola pia chama cha siasa kina kazi ya ku-pressurelize chama kilichopo madarakani ktk masuala mbalimbali yenye maslah kwa jamii na taifa kwa ujumla,chadema ndo chama kilichokuwa na sera ya kuandaa katiba mpya leo tunaona ccm wanatekeleza ingawa kwa uchakachuaji, chadema ndo chama chenye sera ya elimu ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo,nayo ccm wako na mpango wa kutekeleza. sasa ukiniambia hauoni kazi ya chadema nadhan inawezekana ulikuwa unafikilia kuchukua nchi kwa muda mfupi kitu ambacho ni kigumu kiasi. anyway huo ni mtazama wangu mimi siangalii kushika dola naangalia chama kinacholeta mabadiliko hata kama hakijashika dola! ahsante
 
kama ulikuwa na maana ya chama cha ACT wewe na mimi tuwekeani Ahadi mimi nasema hicho chama hakitapata mbunge hata mmoja 2015
 
kwa mtu mwenye akili timamu hata kabla haujamaliza kuandika ujinga wako lazima alikua anafahamu kuwa wapi utamalizia,nasikitika kuona umetumia mzunguko mreeeefu kuelezea,ulitakiwa kusema kwakifupi hayo uliyotumwa kusema ili uwache watu wakushukie,wewe chakula cha watu nn?.
 
Hiyo ndio CDM, walimfukuza David Kafulila na kumwita maneno yote ya kejeli lakini leo tena Mbowe amemteua huyohuyo Kafulila waliyemwona hafai kuwa Waziri kivuli.


Wadau humu jamvini mnaweza mkaniwekea CV ya Mwenyekiti wetu Mbowe!!!!
Simuamini amini taaluma yake na kuongoza chama kikubwa kama Chaddema. Huku South kafuata nini katika kipindi kizuri hiki cha kuuza chama?
 
Nakuunga mkono sana, hao vijana wa CHADEMA walitoa pendekezo la kijinga la kutaka maandamano na mwenyekiti wao bila kuangalia athari za maandamano kuwa hazitajenga chama bali kukibomoa akatangaza maandamano, ni bora wangecchukua ile ya Halimma Mdee kutoka BAWACHA ingekisaidia sana chama, maandamano yanaleta taswira mbaya.
 
CHADEMA kilitarajiwa kije kuwakomboa wananchi kumbe nao NI WACHUMIA TUMBO TU HAWANA JIPYA
 
We unayeomba CV ya Mwenyekiti MBOWE huogopi KUROGWA WEWE????
 
Tujikite kwenye hoja tuache kupayuka. Hoja ni hizi:

1. Je ccm ni chama cha wez na mafisadi?
2. Je kuna mafisadi waccm walioiba bila kunawasasa wanataka na urais?
3 je ccm imeshindwa kuwaendeea vijana?.
4. Je kuna uwezekano wowote ata asilimia 5 tu kw chadema kuchukuanchi
5. Je chadema imetuangusha watanzaniia?
6. Je independentcandidates watakuwa mbadala wa chadema?

Tuache ukutoa pumba tujikite kwenye hizi hoja mujarabu tujenge nchi yetu
 
Hivi kweli kabisa mnaamini 2015 dr. Slaa atakuwa magogoni?? Seriously?????
 
chadema bure kabisa sijawahi kuona chama cha hovyo kama hiki wengi wa viongozi wake ni majuha kweli.
 

Haya mambo ni hulka ya binadamu unaweza kuwatusi ccm kumbe wewe ndiyo wa hovyo kuliko hata hao unaowasema.
 
Mi nadhani kwakuwa chadema kimechemsha mbowe awe dume na awaombe radhi wa-tz, atapata thawabu
 
Cha msingi ni kwa wana CHADEMA kumtafuta mgombea kutoka nje ya nchi maana MBOWE HANA SURA YA URAIS
 
Nashauri vijana wote tuipuuze chadena
 
rekebisha hapo hayo maneno mkuu, CHADEMA kinapigania maslahi ya watu wa kaskazini tu ndiyo maana bila hata haya viongozi wote wa safari hii wanatoka north.

Hiyo disc imechuja Tatamadiba kwa sababu mlianza nayo mkaja na chama cha wakristo,mkaja na chama cha wachaga,mkaja na chama cha magaidi,sasa naona unarewind tena ya ukaskazini,ama kweli mmeishiwa mbinu,jipangeni upya acheni kuleta ushuzi hapa.
 















bora cdm wanafukuza wasaliti ccm ina wa KOLIMBA wasaliti wake
 
vijana wa ACT dhambi ya kula haram ya ccm itawamalza before 2015 lazma mtembee na chupi vichwani
 
Chadema viroba vitawamaiza ha ha ha
 
Hivi ni kwanini asilimia 97 ya vijana wa chadema wanapiga VIROBA??
 
Nawashauri POLISI WKT WA MAANDAMANO YA CHADEMA WAJE NA VIPIMIO KUONA WANGAPI WAMEPIGA VIROBA ....LOL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…