wakati mwingine lazima tuelewe kazi ya vyama vya siasa, pamoja na kutaka kuchukua dola pia chama cha siasa kina kazi ya ku-pressurelize chama kilichopo madarakani ktk masuala mbalimbali yenye maslah kwa jamii na taifa kwa ujumla,chadema ndo chama kilichokuwa na sera ya kuandaa katiba mpya leo tunaona ccm wanatekeleza ingawa kwa uchakachuaji, chadema ndo chama chenye sera ya elimu ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo,nayo ccm wako na mpango wa kutekeleza. sasa ukiniambia hauoni kazi ya chadema nadhan inawezekana ulikuwa unafikilia kuchukua nchi kwa muda mfupi kitu ambacho ni kigumu kiasi. anyway huo ni mtazama wangu mimi siangalii kushika dola naangalia chama kinacholeta mabadiliko hata kama hakijashika dola! ahsante