Jf watu sio wajinga kila mmoja ana akili timamu,chadema hakija futwa wala hakifutwi kwasababu zanzibar kutakuwa na by election katika wadi ya mwanyanya shehia ya sharif msa tarehe 17 april 2011,kampeni zitaanza tarehe 4 hadi 16 april na vyama vitavyoshriki ni cuf,ccm na chadema.kama kimefutwa mbona kinashriki ktk uchaguzi mdogo?hapa hapana wajinga wana jf tunataka serious issue.