Mvishukuru vyuo vya kanisa vinawaokoa hata mmepata kaupeo ka kuingia mitandaoni na kuvitukana, kanisa halibagui, hata wavaa vipedo na wafuga ndevu wanaruhusiwa kutoa ujinga wao wa elimu ahera kwenye vyuo vya kanisa.Halafu chuo chenyewe cha kanisa unategemea nini?
Chadema pale tatizo wamejaa division 3,4 na zero wee unategemea nini
Halafu chuo chenyewe cha kanisa unategemea nini?
Habari kutoka SAUT, Mwanza, ni kwamba mgombea urais wa SAUT[CHADEMA] Bw. Mcheshi amepata ushindi wa kishindo na amemgaragaza vibaya mgombea wa C.C.M. Bw Peter
*Itakumbukwa kuwa jana, C.C.M. waliripotiwa kumwaga kiasi cha shs mil 8 kuwarubuni wapiga kura.
Tatizo saut division for na zero zimejaa sana kile chuo hapo unategemea nini?
Hizo hela ni kutumbua kwa kwenda mbele, kura ng'ooooo.Kubwa tulichofanya hapa saut kula ccm, kura cdm.. Na hakika jaman msifanye mzaha hela za ccm tumezitumbua binafsi zimenisaidia kuongezea karo ya semista ya mwisho
Wanafikiria chama kinachotetea umma. Upumbafu ni kutotambua wanafunzi wanachofanya.wanataaluma wa sasa wamekuwa wapumbavu.
wanafikiria uchama badala ya utaifa.
vyuo vikuu sio sehemu za kuongozwa na wanasiasa ila kuongoza na wanataaluma. kitendo cha kushabikia vyama vyuoni unaonesha ni wasomi wa namna gani tulionao hapa nchini.