Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.
Acha maneno ya maudhi wewe Gamba.Hujaelewa nini hapo?[sasa kama ni habar nzur kuna haja gan ya kuiandika nusu nusu? Hapa amesema cdm ndo wameshnda hakusema nani walikuwa wapinzan wake.na hata kama ni mtihan amefel kwa sababu hajainyesha njia ya jibu
Chaguzi za vyuo zafuata itikadi? Mbona hatuambiwi sifa nyingine kama.....TAPELI ashinda UDSM,SHOGA atwaa urais UDSM...? Hebu elezeni na sifa hizi huenda anazo pia!
Ili 2015tumpe jimbo
Yap yap gwandaz. Tuwarithishe hata wadogo zetu walioko secondari na primary pia. Tuwaeleze ukweli na kwa uwazi kwamba, 'magamba ni sumu ya maendeleo'. Big up!
Baada ya kuhangaika sana hukuhuku na kule kupindisha mambo kwa muda mrefu jana jioni mgombea wa urais mwenye itikadi kali sana za cdm ameibuka kidedea.