Chadema kiboko!

Chadema kiboko!

Mta pter

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
25
Reaction score
3
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri tz..! !. Sijaona ata 1 wa ccm anagusia iyo issue,,eccept wanaishia kupongezana tu!! Ongera Wenje!
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
 
CDM
hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila
kikao cha bunge


Mbona hutumii kichwa? Sasa kama hoja haijafanyiwi kazi na serikali dhaifu unataka wasirudie?
Kwa hiyo wewe unaona ccm ni wakali?
 
sasa kaka umesahau alivyo wachana wa kuu wa mikoa kuwa wameenda kula kiyoyozi bungeni na serikali kuingia ghalama kubwa sana kuwa hudumia wakati wangekaa mikoani uko na kufuatilia mjadala huu kwenye tv zao
 
Wizi ni ulele ule,maskini bado wanaongezeka,kilimo kwanza bado kinarudi nyuma wanafunzi bado wanakosa mikopo,bado haki za wazee hazitelekezwi,bado unasikia huo uozo wa watanzania huko Uswiz,bado unataka tutoe hoja mpya?Unataka tuzungumzie kuwa kama Marekani na Uingereza?
 
Wakati wenje anachana magamba kamera ya tbc ilimuonesha mzinzi ncheba akilamba midomo mithili ya kenge kaona yai,akatitamani apewe maiki atukane.
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge

Hivi kwa akili yako ndogo na dhaifu matatizo ya watanzania yamebadilika?
 
Jamani nimejaribu sana kukata shingo ili nimuone Mhe SimbaChawene pale sebuleni lakini nimeshindwa.

Kuna yeyote mwenye taarifa zozote juu yaake na mahudhurio yake kule Bungeni Domz tangu mkasa wa kule Aqua Restuarant kule Singida???
 
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge

Acha utumwa wewe,ni mbuge gani wa ccm kaja na hoja mpya zaidi ya akina Deo na Mpina ambao kwa ukweli wao wa kutetea maslahi ya umma leo wanaonekana ni wasaliti kwa chama.
 
sio wakali.. CCM ni chama makini .... hakuna ukanda.. ukabila.. udini...

Endeleeni kuwadanganya hao wajinga wajinga......mwenye akili anajua kuwa mmeishiwa hoja na mmezidiwa ndio mana mnakimbilia kuingiza udini kwenye nchi yetu!......nakuhakikishia hata hili pia hamtafanikiwa.
 
Back
Top Bottom