CHADEMA Kiboko.....

Panga La Shaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2009
Posts
209
Reaction score
68
Waalianzisha harakati za ufisadi serikali ikapepesuka mpaka ikavunjwa na waziri mkuu kujiuzulu,wamekuja na maandamano nchi nzima CCM ikapepesuka,mpaka katibu mkuu kujiuzulu,CCM fumu fumu...wamevunjaaa.......ama kweli CDM chama makini...
 
Sawa, msimu wa kwanza kuvunja baraza la mawaziri; msimu wa pili kufumuafumua CCM na msimu wa tatu kuchukua DOLA

Kushika Dola ndio mtakusikia tu , uwezo huo hawana CDM , october 2010 mliangukia pua bado hamkomi tu
 
wALIKATAA KUWEPO KWA ufisadi...Sasa hivi ndio wanaamka na kuwatimua mafisadi kwenye genge lao!
CCM bila CDM ni mzoga!
 
Kushika Dola ndio mtakusikia tu , uwezo huo hawana CDM , october 2010 mliangukia pua bado hamkomi tu
Hata CCM hawakuwa na uwezo wa kushika dola toka 1995, uchakachuaji tu ndio unawasaidia.
 
Umesahau issue ya katiba mpya. Ingawa Kikwete anataka kuwahadaa wananchi kwenye hili kama draft ya mswaada wake inavyoonyesha. Lakini upepo unaendea vibaya kwenye mijadala ya mwanzo tu.
 
Waalianzisha harakati za ufisadi serikali ikapepesuka mpaka ikavunjwa na waziri mkuu kujiuzulu,wamekuja na maandamano nchi nzima CCM ikapepesuka,mpaka katibu mkuu kujiuzulu,CCM fumu fumu...wamevunjaaa.......ama kweli CDM chama makini...

hahahaha!!!

chama cha msimu kimeleta balaa!!

na bado kuna misimu kibao inakuja.

watakoma wenyewe!!!

bila maisha bora waliyotuahidi (ambayo nauhakika 100% ni ndoto under ccm) watafia mbali soon.
 
Heheheheheh! I am in love with CDM whether you like it or not, and there is nothing, absolutely nothing you can do about it!
 
Kushika Dola ndio mtakusikia tu , uwezo huo hawana CDM , october 2010 mliangukia pua bado hamkomi tu

Hata Himaya ya Roma haikujengwa sikumoja, pamoja na wizi wa kura bado mmeipata, ila siku itafika na DOLA itakamatwa na kuwa mali ya Chadema.
 
Msimu wa 4 si tu CDM itaunda serikali halali lakini itakuwa serikali bora zilizowahi kuwepo tangu uhuru 1961.
 
chadema mlijitahidi ila maandamanao na kuwadanganya wanafunzi wazomee na kuleta fujo sio hulka ya watanzania.
 
Sawa, msimu wa kwanza kuvunja baraza la mawaziri; msimu wa pili kufumuafumua CCM na msimu wa tatu kuchukua DOLA
Wewe muache,mbaka asikie kitu kimeingia ndiyo atajua maana yake ni nini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…