CHADEMA katuni hii inawahusu

CHADEMA katuni hii inawahusu

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,900
Reaction score
52,056
CHADEMA kila kinachofanywa na serikali wanapinga hii katuni kaiwekeni kwenye kila ofisi yenu inawahusu.

jamii-jpg.403753
 
Yehodaya we ndio unawapinga cdm kwa kila wanaloishauri serikali cartoon inakuhusu ehe heeee
 
CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM
Sikujua kuwa najibizana mwenye maono hafifu endelea nacho kiendelee pia kukurudisha nyuma wewe na kizazi chako na wala dhambi hii isikusaze
 
Sikujua kuwa najibizana mwenye maono hafifu endelea nacho kiendelee pia kukurudisha nyuma wewe na kizazi chako na wala dhambi hii isikusaze
Odhiambo cairo nchi hii yetu pendwa ya Tanzania bila CCM hakuna maendeleo. Ni CCM tu kwa sasa ndicho chama pekee chenye utashi na nia ya kuleta umoja na maendeleo. Ni CCM tu ndicho chama ambacho kila mwanachama anaouhuru wa kutoa maoni na akasikilizwa. Ni CCM tu ndicho chama chenye wananchama wanaojiamini kuwa wanakiongozi waliyemchagua (siyo dikiteta wa chama mfu kile cha chandomo). Ni CCM tu ndicho chama cha waungwana wanaoipenda nchi yao. Ni CCM tu ndicho chama chenye kuwaunganisha watanzania wote bila kujali dini, ukanda, ukabila. Karibu sana CCM Odhiambo cairo
 
Back
Top Bottom