Chadema kata ya mtibwa wanatisha

Man 4 M4C

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
743
114
CDM kata ya mtibwa inachanga mbuga balaa,ipo chini ya kamanda Aly Bananga na pia Alikuwepo Mh Cecilia Paleso. Leo wamefanya mkutano kambini kwa wavunaji na wamechangiwash elfu 80. Hali inakwenda vema sana. Lungo walichangiwa hadharani,Madizini walichangiwa 270,000; kunke walichangiwa,mikonga kila kijiji. Na mashishiemu na yenyewe yameamua kuandika barua za kuomba michango .........................mbona watajiju.......................
 
Tahadhari ni muhimu Amos Makalla asije akawazungukia wapiga kura na kuwagawia milungula.

Na kwakuwa wananchi hali zao hohe hahe watashindwa kukwepa mitego kwahiyo nadhani wekeni msisitizo ''kula ccm kura Chadema''.
 
Ccm watakua bize na kuchoma makanisa baada ya ijumaa itakuwa zamu ya misikiti na ndipo litakapotimia andiko la Nabii lisemalo kila andiko lenye pumzi ya mungu lafaa kwa mafundisho na kwa kuwaonya watu makosa yao na kuwaadabisha na kwamba dunia itapita ila neno langu halita pita kamwe..Kwakua kuna Agano la Kale naomba tulitumie kulinda imani na makanisa yetu dhidi ya Shetani Islam na Tuwaadabishe hawa majambazi..Xcuse ni maoni yangu najua mtaibuka wazee wa Muhamadi na Mademu Tisa kwa Suna!!!!!!!!!!!Karibuni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom