Khaa Slaa alituabia waliovuruga mikutano yake ni CCM.....ama kweli ongo na ukweli sio marafiki. Dah kumbe hata wilayani wanachakachuwa katiba hii ni hatareeeeeeeeeee!!Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimewavua nyadhifa viongozi wake watatu wa jimbo la Kasulu mjini kwa tuhuma za kuhujumu mkutano wa Katibu mkuu chama hicho Dr Wilbroad Slaa katia ziara yake mkoani humo
Mwenyekiti wa Chadema wilayani Kasulu Bw Rajabu Bujoro ameiambia Redio Kwizera kuwa maamuzi hayo yamefikiwa katika kikao cha kamati ya ushauri ya chama hicho baada ya kubaini kuwa viongozi hao walichochea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kiganamo December 8 mwaka huu.
Amewataja waliovuliwa madaraka kuwa ni Bw Lukas Gervas aliyekuwa katibu, Bw Joshua Kaijage aliyekuwa katibu mwenezi pamoja na Masoud Bigangika aliyekuwa mratibu wa vijana wote kutoka jimbo la Kasulu mjini na kwamba watapewa siku 14 ili wajieleze na wakishindwa watavuliwa uanachama
Hata hivyo Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Kigoma Alhaji Jafar Kasisiko amesema kuwa maamuzi hayo yanakiuka Katiba ya Chama hicho kwa kuwa wilaya haina mamlaka ya kinidhamu kwa viongozi wa Jimbo isipokuwa baraza la Mkoa
Mkuu mwenyeiti anasema katiba imekiukwa.........labda tujiulize pia maazimio ya kamati ya wilaya inakiuka katiba kwa maagizo na maslahi ya nani?Sasa huyo Mwenyekiti anapingana na maazimio ya Wilaya kwa maslahi ya nani?
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilayani Kasulu mkoani Kigoma kimewavua nyadhifa viongozi wake watatu wa jimbo la Kasulu mjini kwa tuhuma za kuhujumu mkutano wa Katibu mkuu chama hicho Dr Wilbroad Slaa katia ziara yake mkoani humo
Mwenyekiti wa Chadema wilayani Kasulu Bw Rajabu Bujoro ameiambia Redio Kwizera kuwa maamuzi hayo yamefikiwa katika kikao cha kamati ya ushauri ya chama hicho baada ya kubaini kuwa viongozi hao walichochea vurugu katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kiganamo December 8 mwaka huu.
Amewataja waliovuliwa madaraka kuwa ni Bw Lukas Gervas aliyekuwa katibu, Bw Joshua Kaijage aliyekuwa katibu mwenezi pamoja na Masoud Bigangika aliyekuwa mratibu wa vijana wote kutoka jimbo la Kasulu mjini na kwamba watapewa siku 14 ili wajieleze na wakishindwa watavuliwa uanachama
Hata hivyo Mwenyekiti wa Chadema Mkoani Kigoma Alhaji Jafar Kasisiko amesema kuwa maamuzi hayo yanakiuka Katiba ya Chama hicho kwa kuwa wilaya haina mamlaka ya kinidhamu kwa viongozi wa Jimbo isipokuwa baraza la Mkoa
Kila wiki Chadema wanafukuza wanachama wao.
karama za Zito hizo. Siku zote haki inasimama na uongo, unafiki unatoweka.
tuvute tu subra tuone mengi.
Khaa Slaa alituabia waliovuruga mikutano yake ni CCM.....ama kweli ongo na ukweli sio marafiki. Dah kumbe hata wilayani wanachakachuwa katiba hii ni hatareeeeeeeeeee!!
point of correction, hao sio wanachama wa CDM bali nimamluki wa mizigoKila wiki Chadema wanafukuza wanachama wao.
Hata Kasisiko naye anatakiwa kuwajibishwa maana ni yeye aliyetoa tahadhari kuwa Dr Slaa asikanyage Kigoma hivyo kwa kauli hiyo na yeye alichochea vurugu zile!!