Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.Magufuli hang'oki 2020! Hongereni kwa kujifurahisha!
Labda mimi ndo naona vibayaHakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Unajua maana ya jasusi?Kwa akili yako ndogo unajua eti yericho ni jasus
wewe akili nyingi unajua magufuli ni yesuKwa akili yako ndogo unajua eti yericho ni jasus
na atang'olewa kirahisi sana !Hakubaliki kwa masikini wa nchi hii labda hao wanasiasa wenzake wanaomtukuza ili kesho awape vyeo.
Kwa vile kura ni siri ya mtu, nakushauri jihesabie wewe tuu mwenyewe na usimuhesabie mkeo, unless hiyo kura yake ukampigie wewe!.Cdm kama chama wanaweza kumpitisha Nyalandu, lakini mimi na mke wangu hatuko tayari kurudia kosa la Lowassa ndani ya cdm.
Nakushauri jihesabie wewe tuu usimuhesabie mkeo, maana kura ni siri!.
P
Hongera kwa kuusemea moyo wa mwezi wako.Sina chembe ya shaka na mke wangu kwenye hili la kura. Yale mambo mengine sawa, ila sio kwenye kura.
Magufuli hafai kabisa amekuwa kituko duniani kote.Magufuli hang'oki 2020! Hongereni kwa kujifurahisha!
Kupitia Nyarandu?Chadema kidume