CHADEMA Kama Mmefikia This Low Basi Siasa sio Field Yenu!!

CHADEMA Kama Mmefikia This Low Basi Siasa sio Field Yenu!!

Huyu Ben wa saanane ameanza kudata naona maana hata akiona kijani anasema nyekundu.
 
Kaka Wile, hongera asante kwa kuleta hili bandiko.
1. Nitasubiri hadi Ben Saanane, akanushe au atoe maelezo tofauti na wewe, ndo nita fikiria tofauti na maelezo yako
2. Wanao jibu hoja hii kama wapo upande wa CDM, wasijibu kwa mstari mmoja na maneno ya kejeli, watakuwa wanazidi kujipaka uchavu, na kuchavua CDM as intistution.
3. Ni wakati wa kupanga mipango mipya CDM itoke kivingine zaidi, nimesoma sehemu Arusha kuna viongozi wamejitoa, hilo ni pigo kubwa sana, maana sehemu zingine waliokuwa wapenzi wamenyamaza kimya.
4. BLK likiisha na ukawa wakamaliza kazi zao, CDM wawe tayari wana mkakati vinginevyo hicho kichaka walicho jificha wakidhani kitawapa umaruufu na kusahaulisha, anguko lao ni kidogo mno kuficha mwili mzima, wameficha kichwa tu!!

Mwisho naona kama hizi chaguzi ndogo, na tangu ZZk aende courtin, CDM hakija simama, bado kina yumba yumba sana, kuna haja pengo la watu wa behind the scene ( Kitila Mkumbo) akiwemo lizibwe, ingawa swali ngumu,lina baki nani ataziba? watamtoa wapi? atajiamini kiasi gani?
Kosa la kufukuzana, halitawacha bila makovu, na alama zake zitachukua muda mrefu sana.
CDM Peopleeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzz
SP
 
Well said. huyu muulize alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Ridhiwan ama?! mbona naona kama kuna kitu kinaendelea hapa sijakielewa vizuri???!!! Le Mutuz hujifunzi tuu kwamba CCM na familia ya mkuu hawakufagilii pamoja na kukukuruka sana kwenye mitandao ya kijamii kujipendekeza kwao???!!!! You still have so many chances to succeed without them brother!!! just be an open minded person na usiishi kwa kutegemea Fulani atanibeba somewhere.
Asante kwa kumuongezea dose huenda akabadilika
 
Kaka unapoandika zingatia vituo, koma na viulizo... Sasa wewe unaandika para nzima haina hata kituo.. Haya ndo matokeo ya mfumo wa elimu yetu chini ya CCM
 
kituo.jpg

Ni kweli CCM wameshindwa na CHADEMA wameshinda. Ukitumia akili za kiitikadi utaona CCM imeshinda lakini imeshindwa vibaya mno.
Mwaka 2010 waliojiandikisha Chalinze kupiga kura ni 98,383, wanaume 48,117 na wanawake 50265.

Pamoja na kucheza rafu CCM imeambulia kura 28,000. Je hapa CCm wajisifie nini Wakati serikali yote ilikua Chalinze na Hela zote zilihamia Chalinze kunua shahada?

CHADEMA imejijenga sana CHalinze. Wananchi wa Chalinze wameanza kujitambua ndo maana hakuna hata mwanaccm aliye ingia barabarani kushangilia.
CHZ-1.jpg
 
Masikini CHADEMA toka High power hadi Sasa Low Power hatimaye itakua No Power! Sijui mtakuwa wageni wa nani?
 
Back
Top Bottom