CHADEMA Kama Mmefikia This Low Basi Siasa sio Field Yenu!!

CHADEMA Kama Mmefikia This Low Basi Siasa sio Field Yenu!!

Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,466
Ben Wa Saanane 14 hours ago;

Namshukuru Mungu kwa Ushindi wa CHALIZE kwa sauti zao kwa kuikata ccm, Huu ni ushindi kwa Chadema na wala sio ccm, Kwa ccm kujipongeza kwa ushindi wa kiti cha ubunge ni aibu kubwa kwao, Kwanza kabla ya kushangilia ushindi huo wajiulize kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi wanachalize idadi yao ni ngapi?

Lazima wajiulize maswali haya ya msingi nguvu ya fedha dola vyote vilikuwa vikishindana na chama kimoja Chadema, Ni ushindii kwa Chadama kushiriki katika kampeni hizo za chalize ,kwani tumeweza kukijenga chama zaidi kuwajenga vijana ambao ni asilimia 60% ya watanzania wote ambao ndio nguvu kazi ya taifa hili katika fikra za ukombozi,Pia ninaamini wameelewa nini maana ya mabadiliko hivyo sina wasiwasi watajiandikisha daftari litakapo boreshwa.

CHAMA CHANGU CHADEMA MOYO TUNAO WA UKOMBOZI Watu watajiuliza maswali mengi sana kwani chadema wasisusie kushiriki katika chaguzi hizi ndogo kwani sio kosa bali ni uzalendo,yote haya kushiriki kuto shiriki tungeweza kufanya; Kutokushiriki kwa sababu zifuatazo;

1-Kutaka daftari liandikishwe upya ili kutoa haki kwa wale wote wenye sifa za kupiga kura,
2-Kuitaka tume ya taifa kuwa huru katika kufanya mambo yake;
3-Kukibana chama kinachotumia resimali za taifa katika kampeni zake mfano mawazi kutumia magari ya serekali;
4-Tunazo kila sababu ya kutoshiri kabisa lakini jukumu la ukombozi ni kutafuta usawa ambao watawala hawataki kutoa kwa walengwa; Yako mengi hayo machache yanatosha kuonyesha kwamba ssm hakushinda,

KUSHIRIKI'
1-Kuwafikia wananchi na kuwaeleza sera
2-Kuwaeleza wananchi Umuhimu wa kulipenda na kulilinda taifa leo.
3-Kukijenga chama
4-Kuidhofisha na kuififisha kabisa chama tawala.

Hitimisho;
Kwa maelezo hayo hapo juu huwezi kusema chadema imeshindwa, Huwezi kusema CCM imeshinda katika uchanguzi huku wakijuwa walibebwa, Huku Raisi wa Zanzibar akitoa maagizo na kusema ushindi ni lazima;Kwa mazingira kama ya chalize yenye idadi kubwa ya watu kutokujuwa haki zao kura za CCM zilipatikana kwa vitisho vikubwa kwa wakazi ukizingatia huko ndio aliko raisi wa nchii.

WanaChalize kumbuke miaka 15 ya ubunge miaka ya 9 ya urais mnanini cha kujivunia katika jimbo lenu, Maendelo katika jimbo lenu yanafana na resilimali mlizo nazo katika taifa? Kama basi mmeridhika na kumpeleka mtoto shule akakue na wala sio kusoma basi endeleani na ccm, Kama basi mmeridhika na kwenda kwa waganga wa kienyeji huku wezenu wakipata huduma za afya bora basi endeleani na ccm;

Kama basi mmeridhika na miundombinu ovyo basi endeleani na ccm Kama basi mmeridhika na shule za nyasi basi endeleani na ccm, Kama basi mmerishika na kunywa maji machafu basi endeleani na ssm Kama basi mmeridhika na sukarii na Kanga na kofia na kikombe cha kahawa basi endeleani na ccm;

Ridhiwan Kikwete kama Mbunge waletee wanachalize maendeleo na sio ngoma, Harakati hizi ni za kudai Haki Usawa na Uhuru wa Kweli hivyo kulalamika kupatiwa Usawa katika Chaguzi ni kosa kubwa sana,Tutafuta Haki kwa kila njia na hakika Tutashinda;

Hongera Chadema Ongera Chalize Namshukuru Mungu kwa Ushindi wa CHALIZE kwa sauti zao kwa kuikataa ccm, Huu ni ushindi kwa Chadema na wala sio ccm, Kwa ccm kujipongeza kwa ushindi wa kiti cha ubunge ni aibu kubwa kwao, Kwanza kabla ya kushangilia ushindi huo wajiulize kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi wanachalize idadi yao ni ngapi?

Lazima wajiulize maswali haya ya msingi nguvu ya fedha dola vyote vilikuwa vikishindana na chama kimoja Chadema, Ni ushindii kwa Chadama kushiriki katika kampeni hizo za chalize ,kwani tumeweza kukijenga chama zaidi kuwajenga vijana ambao ni asilimia 60% ya watanzania wote ambao ndio nguvu kazi ya taifa hili katika fikra za ukombozi, Pia ninaamini wameelewa nini maana ya mabadiliko hivyo sina wasiwasi watajiandikisha daftari litakapo boreshwa.

======== Nimeshiriki toka mwanzo wa Uchaguzi huu wa Chalinze mpaka mwisho wake, sasa leo Chadema kwa kumtumia huyu kijana mdogo Ben kuandika maneno yasiyokuwa na tija kwa wananchi wala Taifa kama haya nimeshitushwa sana na kwa mara ya kwanza nimeamini kwamba siasa za bongo huenda hamziwezi tena, mlianza vizuri sana huko nyuma wengi tulikuwa tunawategemea sana kufichua maovu ya Serikali na kuirekebisha Serikali, lakini kama kweli mmefikia hivi kwa kweli kubalini tu kwamba siasa zimeshaanza kuwashinda,

- I mean I was there kata zote 15 za Chalinze madiwani ni wa CCM, Chadema haina presence kabisa kwenye lile jimbo hakuna binadam yoyote mwenye akili timamu anyeishi Chalinze anayeweza hata kuelewa haya maneno ya ben ameyatoa wapi, sawa siasa ni siasa lakini kufikia this low kwa kweli mfike pahali muache hizi siasa, mimi nilidhani mtakuwa wakweli tu kwamba hili jimbo ni moja ya ngome ya CCM mbona CCM tunakubali yanapotokea kama haya kule kwenu Arusha, mbona sijawahi kuona CCM wakija na maneno ya uzushi kama haya mnaposhinda, I mean this is the lowest I have ever seen katika siasa za vyama vingi bongo, kwa kweli wala sio siri for this mmefika mwisho, acheni siasa mtaishia kutuletea majanga hili taifa.

Le Mutuz
 
Kajipange tena uandike vizuri, unakimbilia wapi na kikubwa zaidi unaumia nini?
 
mneno mreeeeefu, nimeishia katikati kusoma. Ushauri, peleka kwenye magazeti iwe kama makala. Samahani lakini.
- Unasema maneno yenu Chadema sio yangu, kumbe umeona baada ya kushindwa jinsi mlivyo na maneno mengi mpaka umeshindwa kumaliza kuyasoma, sawa sawa!1 Le Mutuz
 
Uandishi huu unaonyesha wewe mleta mada ndiyo uko low. Kulipwa utalipwa tu kwa post yako,andika vizuri basi nasi tuelewe. Makada wenzako hawatakuwahi na wengine wamepigwa ban
- Leo mmeanza pole pole kujitokeza kumbe huko Chadema huwa wanakulipa kuja hapa sasa unafikiri wote ni kama wewe, pole sana!! Le Mutuz
 
Tamko la Chadema kupinga matokeo chalinze ni kutapatapa, dhaifu,lipuuzwe.

Ni mwendelezo wa hoja dhaifu, nyepesi na zisizo na mashiko. Waliyasema baada ya chopa tatu kata tatu, wakayasema kalenga na leo chalinze...mambo ya msingi yaliyopelekea chadema kushindwa vibaya mfululizo katika chaguzi za hivi karibuni ni haya yafuatayo:
1. Siasa za vurugu
2.kauli za matusi,vitisho na matukio ya kihalifu yanayohatarisha uhai na usalama wa maisha ya watanzania kama vile kumwagia watu tindikali, kulisha watu sumu, na kulipua watu kwa mabomu kwenye mikusanyiko ya kisiasa na kidini.
3.vurugu ndani ya chama na fukuza fukuza ya viongozi
4.ubaguzi mkubwa ndani ya chadema, ubabe wa viongozi wa kitaifa na umimi.
5. Viongozi wa kitaifa hasa mwenyekiti na katibu mkuu kutokushaurika na kupuuza maoni ya watanzania na wanachama wake
6. Chama kuchokwa na wananchi, kukosa ushawishi na kupoteza mvuto kwa wananchi

chadema iache kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa,ikubali mapungufu ili ijirekebishe, ijijenge upya. Muda bado upo, visingizio vya kitoto inavyotoa havitakisaidia sana sana kitazidi kudidimia.. Asiyesikia la mkuu hugunjika guu.
 
Kama umemuelewa Ben vizuri usingekuwa na haja ya kuandika ulichoandika,,Maana kama Hakuna presence ya chadema chalinze ndio maana wakashiriki uchaguzi huu mdogo ili kuiweka hiyo presence,,Pili umesema kuwa hakuna binadamu yoyote mwenye akili timamu anayeweza kuyaelewa maneno ya Ben? kwanza hukuainisha kama hawaelewi kwa kuwa hawajui kusoma?? au uelewa wao ni mdogo? Na je utafiti huo uliufanyia wapi na kuja na conclusion kuwa wanachalinze hawawezi kumuelewa Ben? Je ni uongo kuwa chalinze imekuwa na mbunge (JK) Miaka 10 akiwa waziri wa mambo ya nje? Miaka karibu tisa JK akiwa rais?? ni uwongo kuwa miundo mbinu Chalinze ni mibovu? Ni uongo kuwa shule kadhaa chalinze zimeezekwa kwa nyasi na wanafunzi wanakaa chini?? Hainingii akilini kuwa hayo yote wanachalinze watashindwa kuyaelewa? Hivi kama huna cha kuandika au huna cha ku challenge kwa nini usikae kimya na kujifunza kwa wenzio? wewe ndio ulitaka kuwa mwakilishi wetu katika bunge la Africa mashariki? Kwa pumba hizi si tungeonekana sote ni wa aina yako? Nalishukuru sana bunge letu (pamoja na ubovu wake) Kukuengua katika kugombea nafasi hiyo ungejitia aibu na kuwatia aibu Watanzania!
 
ili mtu yeyote aweze kuona mambo katika mwanga bora, ni lazima awe 'Free minded!' kwa kiasi.Kwa bahati mbaya miongoni mwetu tumekosa hiyo kitu.
 
Kama umemuelewa Ben vizuri usingekuwa na haja ya kuandika ulichoandika,,Maana kama Hakuna presence ya chadema chalinze ndio maana wakashiriki uchaguzi huu mdogo ili kuiweka hiyo presence,,Pili umesema kuwa hakuna binadamu yoyote mwenye akili timamu anayeweza kuyaelewa maneno ya Ben? kwanza hukuainisha kama hawaelewi kwa kuwa hawajui kusoma?? au uelewa wao ni mdogo? Na je utafiti huo uliufanyia wapi na kuja na conclusion kuwa wanachalinze hawawezi kumuelewa Ben? Je ni uongo kuwa chalinze imekuwa na mbunge (JK) Miaka 10 akiwa waziri wa mambo ya nje? Miaka karibu tisa JK akiwa rais?? ni uwongo kuwa miundo mbinu Chalinze ni mibovu? Ni uongo kuwa shule kadhaa chalinze zimeezekwa kwa nyasi na wanafunzi wanakaa chini?? Hainingii akilini kuwa hayo yote wanachalinze watashindwa kuyaelewa? Hivi kama huna cha kuandika au huna cha ku challenge kwa nini usikae kimya na kujifunza kwa wenzio? wewe ndio ulitaka kuwa mwakilishi wetu katika bunge la Africa mashariki? Kwa pumba hizi si tungeonekana sote ni wa aina yako? Nalishukuru sana bunge letu (pamoja na ubovu wake) Kukuengua katika kugombea nafasi hiyo ungejitia aibu na kuwatia aibu Watanzania!

Well said. huyu muulize alikuwa kwenye timu ya kampeni ya Ridhiwan ama?! mbona naona kama kuna kitu kinaendelea hapa sijakielewa vizuri???!!! Le Mutuz hujifunzi tuu kwamba CCM na familia ya mkuu hawakufagilii pamoja na kukukuruka sana kwenye mitandao ya kijamii kujipendekeza kwao???!!!! You still have so many chances to succeed without them brother!!! just be an open minded person na usiishi kwa kutegemea Fulani atanibeba somewhere.
 
- Leo mmeanza pole pole kujitokeza kumbe huko Chadema huwa wanakulipa kuja hapa sasa unafikiri wote ni kama wewe, pole sana!! Le Mutuz

Nafasi za ukuu wa wilaya zimejaa. Labda afe mtu! Na 2015 hiyoooo!
 
Kama umemuelewa Ben vizuri usingekuwa na haja ya kuandika ulichoandika,,Maana kama Hakuna presence ya chadema chalinze ndio maana wakashiriki uchaguzi huu mdogo ili kuiweka hiyo presence,,Pili umesema kuwa hakuna binadamu yoyote mwenye akili timamu anayeweza kuyaelewa maneno ya Ben? kwanza hukuainisha kama hawaelewi kwa kuwa hawajui kusoma?? au uelewa wao ni mdogo? Na je utafiti huo uliufanyia wapi na kuja na conclusion kuwa wanachalinze hawawezi kumuelewa Ben? Je ni uongo kuwa chalinze imekuwa na mbunge (JK) Miaka 10 akiwa waziri wa mambo ya nje? Miaka karibu tisa JK akiwa rais?? ni uwongo kuwa miundo mbinu Chalinze ni mibovu? Ni uongo kuwa shule kadhaa chalinze zimeezekwa kwa nyasi na wanafunzi wanakaa chini?? Hainingii akilini kuwa hayo yote wanachalinze watashindwa kuyaelewa? Hivi kama huna cha kuandika au huna cha ku challenge kwa nini usikae kimya na kujifunza kwa wenzio? wewe ndio ulitaka kuwa mwakilishi wetu katika bunge la Africa mashariki? Kwa pumba hizi si tungeonekana sote ni wa aina yako? Nalishukuru sana bunge letu (pamoja na ubovu wake) Kukuengua katika kugombea nafasi hiyo ungejitia aibu na kuwatia aibu Watanzania!


Umesema vyema bro!
 
Back
Top Bottom