na hicho ulichonacho sasa ni cha wakinanani,wahuni wako kule......Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI

Magamba sasa yamejaa JF:
Join Date : 28th April 2011
Posts : 3
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
Kwa akili yako inabidi kitokee chama cha mata.ko ndo ujiunge nacho...
Hili ni dhahiri sana. Ghafla tunaanza kuona posts nyingi za watu waliojiunga JF hivi karibuni na posts zao nyingi ni kuchafua CDM. Kwa taarifa ya hao wageni mamluki, humu jamvini tunajadili mambo ambayo yanaleta maslahi kwa jamii nzima ya Tanzania. Ni kwa sababu ccm imekuwa ikiongoza nchi huku ikiruhusu ufisadi mkubwa ufanyike, ndio maana chama hicho kinatupiwa madongo sana. CDM kimekuwa kikitetea maslahi ya jamii ya Kitanzania, na mtu yeyote ambaye ataanza kuhujumu utetezi wa maslahi ya walio wengi, huyo ni msaliti.Magamba sasa yamejaa JF:
Join Date : 28th April 2011
Posts : 3
Thanks 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power : 0
Kwa akili yako inabidi kitokee chama cha mata.ko ndo ujiunge nacho...
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI
Leo kazi ipo. kila mahali Chadema! Jamani hii tenda ya kuishambulia Chadema inauzwa kwa Shilingi ngapi?
Hili ni dhahiri sana. Ghafla tunaanza kuona posts nyingi za watu waliojiunga JF hivi karibuni na posts zao nyingi ni kuchafua CDM. Kwa taarifa ya hao wageni mamluki, humu jamvini tunajadili mambo ambayo yanaleta maslahi kwa jamii nzima ya Tanzania. Ni kwa sababu ccm imekuwa ikiongoza nchi huku ikiruhusu ufisadi mkubwa ufanyike, ndio maana chama hicho kinatupiwa madongo sana. CDM kimekuwa kikitetea maslahi ya jamii ya Kitanzania, na mtu yeyote ambaye ataanza kuhujumu utetezi wa maslahi ya walio wengi, huyo ni msaliti.
Kwa hao wasaliti, mamluki, nawaambia: juhudi zenu zitagonga ukuta, maana mwenye haki, daima anashinda.
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI
Mkuu Dingswayo heshima mbele.
Napenda kutofautiana na wewe katika jambo la msingi kabisa.Wazo au idea itabaki kuwa hivyo hadi hapo litakapopatikana wazo mbadala au lunalopinga wazo la awali.
Nichango mingi ya "wageni" ndani ya JF ni kweli imekuwa ikiipinga CDM lakini, kwa mantiki ya yale yanayoonekana na kujulikana kupitia vyombo vya habari.
Mimi sijifichi ni mwana CCM lakini nilipinga sana mafisadi na ufisadi ndani ya chama tawala.Nilipinga vile vile hali ya kutelekeza miiko ya uongozi ndani ya utawala.
Tunashukuru kuwa yameanza kushughulikiwa ingawaje kwa spidi ndogo.Tunataka nini zaidi?Damu imwagike ndio tuone kuwa mambo yanashughulikiwa?Time will tell on the sincirety of the "Kuijivua Gamba" theorem na matokeo yake.
Tulio wengi tulichokiona kule ndani ya CCM ndio hicho hicho likichomo CDM, wafanyabiashara walionzisha CDM ni kama wale mafisadi, kwa muelekeo wao na matendeo.
Sasa wana JF, hata akiwa mgeni akilaumu hilo utamwita mamluki?
Huo ni ukosefu wa kufikiri kwa maana ile tuhuma haiondoki kwa kujibu matusi.Jibu sahihi na maelezo kutoka kwa mwana JF litatosheleza, na kuna viongozi wengi tu wa CDM humu JF.
Jibuni hizo tuhuma.
Kufikiria kuwa CCM itachukiwa daima ni shortsightedness and naive.
Lazima CDM ikubali kuwa wananchi wanaichunguza CDM kwa macho yale yale taliyokuwa yakiichunguza CCM.
Hatutaki kuondoa fisadi katika chama kimoja ili tutawaliwe na fisadi aliye chama kingine.
CDM get your house in order.