Chadema kabla ya kuandama ombeni ushauri kwa Prof lipumba na maalim seif.

Biyani

Member
Aug 7, 2016
76
144
Chadema kabla hamjaandama ombeni ushauri kwa lipumba na Maalim Seif.Ndugu zangu chadema na viongozi wenu,nyie ni ndugu zangu .Kwani nyie ni watanzania .Kabla hamjaandama tarehe moja mwezi wa tisa mwaka huu nawaomba chondechonde ,msifanye maandamano.Nendeni kwa Prof lipumba na maalim seif wanajua ugumu wake.Prof lipumba anajua vizur kichapo alichokipata yeye na wafuasi wake kule Temeke.Pia maalim seif anajua vizur yeye na wafuasi wake kule Zanzibar. Kwann hawataki kuwapa ushauri?Naomba muwaombe kwa mara ya mwisho ushauri watawasaidia ndugu zangu.Matatizo mutakayoyapata ni makubwa mno.Mnakwenda kupambana na Dola.Tena ya Rais Dr magufuri.Narudia tena muombeni ushauri Prof lipumba na Maalim seif atawapa ushauri mzuri.
 
Back
Top Bottom