fdizzle
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,902
- 2,405
Kuna baadhi ya mambo mnafanya hayaendani kabisa na mantiki ya taasisi imara amabyo imeundwa kwa misingi inayoeleweka.
Hii kila wiki kamati kuu imekutana na kutoa tamko haileti maana zaidi inaonekana ni kama vile mawazo ya mtu mmoja sasa akitaka kuyahalisha ndio inaitwa kamati kuu zinapogwa blah blah mwisho Makene anaanguka saini yake kitu kipo mtandaoni.
Kiufupi ni kama vile mmepoteza dira na pia haina hata mvuto na haivuti wala nini. Mfano leo salam za Eid kamati kuu imekaa na kutoa salam za Eid!Serious kabisa?
Igeni kwa CCM basi ukisikia wana kikao cha kamati kuu lazima ukae ujue wanatoka na suluhu gani na nini kinazungumziwa. Huwezi kusikia kila siku CCM kamati kuu imefanya hivi, kamati kuu imefanya vile. Na hii inapelekea kuweka "tension" fulani kwa jamii pindi ikitokea ikatangazwa kamati kuu inakutana.
Kama dhumuni lilikuwa ni kutoa salam za Eid si yupo katibu mkuu au mwenezi wa chama wangetoa tu hizo salam za Eid.
Eid Mubarak!