CHADEMA itupe gharama ya kuanzisha chombo cha habari, sisi wananchi tutachanga

MAPITO Mwanza

JF-Expert Member
Aug 21, 2018
3,690
5,018
Nimeona kama mwanafamilia wa chama kubwa Chadema nilete wazo hapa kwa viongozi wetu.

Iko hivi chama kimekuwa kina watu kwa hapa tulipo hatuwezi kushindwa kitu chochote. Naomba muanzishe mchakato wa kujua gharama za kununua mitambo ya Radio na TV sisi wanafamilia tutachanga ikiwezekana iwe mapema hata kabla ya uchaguzi Mkuu.

Ni hayo.
 
Unafikiri kama kufanya mikutano ya kisiasa ambalo ni takwa LA kikatiba wanawekewa mizengwe,vipi kuhusu chombo cha habari?
 
Nimeona kama mwanafamilia wa chama kubwa Chadema nilete wazo hapa kwa viongozi wetu.

Iko hivi chama kimekuwa kina watu kwa hapa tulipo hatuwezi kushindwa kitu chochote. Naomba muanzishe mchakato wa kujua gharama za kununua mitambo ya Radio na TV sisi wanafamilia tutachanga ikiwezekana iwe mapema hata kabla ya uchaguzi Mkuu.

Ni hayo.

Wewe hauna uchungu na chadema kumzidi Mbowe, acha ujinga

Mpe hela mbowe uone kama itafanya kazi utakayo
 
Nimeona kama mwanafamilia wa chama kubwa Chadema nilete wazo hapa kwa viongozi wetu.

Iko hivi chama kimekuwa kina watu kwa hapa tulipo hatuwezi kushindwa kitu chochote. Naomba muanzishe mchakato wa kujua gharama za kununua mitambo ya Radio na TV sisi wanafamilia tutachanga ikiwezekana iwe mapema hata kabla ya uchaguzi Mkuu.

Ni hayo.
Naunga mkono hoja!
 
Walishapewa na chama cha conservative cha UK wakazitafuna na zaidi Mwenyekiti akajimilikisha gazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema hata ofis hamna sasa TV mtaweka wapi?? Kama ofisi imewashinda na ruzuku mil 400 TV mtaweza?? Mwakani Ruzuku itakua mil 5
 
Baba yenu anatafuna ruzuku na ukoo wake halafu ww ndio unachangishwa kama zuzu
 
Back
Top Bottom