Chadema, itumieni Wikipedia mjulikane

Chadema, itumieni Wikipedia mjulikane

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,342
Reaction score
169,352
Chadema - Wikipedia, the free encyclopedia

Wikipedia ni kamusi elezi ya kimtandao.
Kamusi hii inataarifa na habari mbalimbali ambazo huwekwa humo bila gharama yeyote.
Nimesikitika nimeingia kwenye tovuti ya Wikipedia nikitarajia kupata taarifa kedekede, lakini kwa bahati mbaya nimeambulia kuvunjika moyo.
Naamini CDM wana watu makini na wanaoweza kuweka kumbukumbu na taarifa mbalimbali za chama kwenye mtandao huo kwa manufaa ya Watanzania na ulimwengu mzima kwa ujumla.
Nawatakieni siku njema na kazi njema
 
Wazo zuri sana mkuu Bujibuji. Nadhani ingekuwa vema ungetoa maelezo ya kutosha ya namna ya kujitangaza huko. Sidhani kama kila mtu ana uelewa huo ulio nao.
 
Chadema hakuna wanaloweza zaidi ya Maandamano na Matusi bungeni tu.
 
Back
Top Bottom