Chadema itume ujumbe pemba!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema itume ujumbe pemba!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kadogoo, Jan 6, 2011.

 1. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hali ya mtafaruku niliouona Jana Arusha kwa macho yangu huku waathirika wa mabomu ya kutoa machozi wakishindwa kuhimili kasheshe hiyo, wakati umefika kwa viongozi wa CDM kutuma ujumbe maalum huko kisiwani Pemba na Unguja ili kujifunza mbinu walizokuwa wakitumia wana CUF-ngangari kukabiliana na mabomu ya machozi ya Polisi-ngunguri!

  Aidha pia ni muhimu CDM wakajifunza mbinu za CUF za kufanya maandamano ya kiteknologia kwa kuwazidi akili na maarifa Polisi kwa kukamilisha maandamano yao bila ya Polisi kujua njia wanazotumia waandamanaji!

  Mbinu hizi zitasaidia kupunguza hasara zinazosababishwa na uamuzi wa kufanya maandamano bila kujiandaa na mbinu za kukabiliana na Polisi waliopata mafunzo maalum ya kijeshi dhidi ya raia innocent wanaoburuzwa na wanasiasa kuingia barabarani bila maandalizi na namna ya kuhimili sumu kali ya mabomu ya machozi!!!!!

  Kuingia barabarani kwa maandamano bila kozi maalum itatugharimu sana kama tulivyoona Arusha jinsi wananchi wenzetu walivyopata hasara ktk biashara zao kwa kusimama siku nzima na wengine kuporwa kwa sababu ya mapambano kati ya Polisi na waandamanaji wa CDM!
   
 2. L

  LAT JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hii ID yako inafanana na Topic uliyoileta.... bisha kama una confo.... hili ni tatizo la miadharati ya mirungi.... inatumika ku brain wash
   
 3. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu zubeda eti ni demu wa nani vile? hivi siyo yule demu aliyeachika kwa yusuf makamba na siku hizi anachukuliwa na igp?
   
 4. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,082
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Mademu wa uswahilini utawajua tu. Nenda kachezwe mdundiko...
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  MS vipi mod amekupiga ban tena kwenye zile ID zako!!??
   
 6. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #6
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Watoto waliozaliwa madanguroni utawajua tu kwa post zao!!!!!
  Afadhali mtoto wa chupa kuliko kuzaliwa danguroni huku mama yako akiwa kalewa chakari na mgongoni anakoromewa na dume levi!!!
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  hata bi kidude ameimba ........ zubeda umelewa.... sasa nani kalewa.... au umepata dereva ajuae kijembe chako kimekongoka mpini
   
 8. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mimi nadhani mawazo ya dada Zubeda ni muhimu kuzingatia na ni ushauri wake alioutoa nadhani kwa nia njema hivyo kuanza kumtusi ni ukosefu wa adabu mbele ya dada zetu na jinsi gani tunakosa uvumilivu wa kutoa mawazo yetu kwa njia iliyo sawa!
   
 9. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #9
  Jan 6, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kujibishana na mwanamke si utamaduni wa wanaume wa chi yetu! hii ni tabia ya kikekike kuendelea kujibishana mbele ya umati ulioko humu JF!
  kama umekosa la kuandika ni afadhali ukae kimya kuliko kuropoka kama mlevi!
   
 10. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #10
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kujibishana na mwanamke si utamaduni wa wanaume wa chi yetu! hii ni tabia ya kikekike kuendelea kujibishana mbele ya umati ulioko humu JF!
  kama umekosa la kuandika ni afadhali ukae kimya kuliko kuropoka kama mlevi!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu... nakuheshimu kwakuwa wewe ni mwanamke.... na umeshatamka wazi.... smahani sana...bibie
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hajatulialia huyu Zubeda. Tumtowe baru, kichupi mkononi. Hahahaaaa.......... 'mamae Zubeda.

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #13
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Dada Zubeda mawazo na ujumbe wako umefika, hawa wanaokutukana na kukudhalilisha kwa sababu ya jinsia yako huenda ni watu wenye mfadhaiko wa kiakili na pengine wana matatizo ya kifamilia hivyo usiwajibu bali wasamehe!!
   
 14. L

  LAT JF-Expert Member

  #14
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Dada TZ Kwanza... unahekima na busara sana.... unaweza kumfariji huyu mcharuko mwenzako bila hata kufikiri.... kweli udada unahitaji kuwa na kanga kwanza..
   
 15. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #15
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hoja hujibiwa kwa hoja!
   
 16. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #16
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ushauri wa zubeda ni muhimu sana kwa mstakbali wa maandamano mengine nchini, tusipuuze hata kidogo!
  halafu hapa kuna watu wananishangaza sana mtu katoa wazo lake wengine wanaanza kumshambulia jinsia yake!! hii tabia mbona inatia kichefuchefu?

  Kama huwezi kuchangia kwa hoja sasa ya nini kupoteza muda wako kushambulia jinsia ya mtu?
   
 17. Petiro

  Petiro JF-Expert Member

  #17
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 312
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Zubeda umetumia haki yako ya kikatiba kwny ibara ya 8 hao wote wanaokutusi ni sawa na wale walioua&kujeruhi ndugu zetu kule Arusha huku wakijua kuandamana ni haki ya CHADEMA na kulinda maandamano ni wajibu wa jeshi la polisi
   
 18. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #18
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Lakini ni vema tukawa waangalifu sana ktk kuandaa maandamano kama kutakuwa na mvutano baina ya waandaaji na Jeshi la Polisi ni jukumu la viongozi kuwaandaa washiriki ili watu wawe tayari kwa lolote litakalotokea!
   
Loading...