CHADEMA itoe feedback kuhusu michango kwa ajili ya kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA itoe feedback kuhusu michango kwa ajili ya kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by JIWE2, Sep 30, 2010.

 1. J

  JIWE2 Senior Member

  #1
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 123
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mpango wa kuchangia ni mzuri. Naomba Chadema iwe wazi kujulisha wapenzi wake kuwa imepata michango kiasi gani mpaka sasa na michango hiyo imesaidiaje kwenye kampeni zinazoendelea. Hilo linaweza kuwapa moyo zaidi wapenzi watakapotambua kwamba michango yao kidogo kidogo ina manufaa makubwa.
   
 2. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  yani wameishiwa hadi wanaomba mchango kwa wananchi
   
 3. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Acha utoto, hakuna askari aendae vitani kwa gharama zake mwenyewe!!!
   
 4. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2010
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  DU; jamaa hata huchgangii unauliza nini? mie nachangia kwa moyo mweupe; Ndege hairuki bila mafuta; wajumbe hawatembei bila kula; slaa halali porini; na mengineyo na kwa uekewa wangu chama ni kichanga hakina hela; sina hilo swali maana najua hata mchango wangu bado ni kama kitu kidogo sana; zaidi wakimaliza uchaguzi tutawaulizia na tutaanza na kujipongeza kama washindi wa UFISADI
   
Loading...