Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,708
- 290,485
Mmepanga huu mkakati wenu utimie lini mkuu , maana taarifa zinadokeza kwamba wewe ni miongoni mwa wanaokesha kwa wagangaTatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.
Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ifanye juhudu kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.
Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.
alitangaza kuuwa chadema matokeo yake kafa yeye !Wasira atusaidie kujibu hili.
Tatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.
Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ufanye juhudi kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.
Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.
Subiri mazishi yake mwaka 2020 labda ndio utajua maana ya kifo cha CHADEMA.
How you wish gamba.Tatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.
Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ufanye juhudi kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.
Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.
Subiri mazishi yake mwaka 2020 labda ndio utajua maana ya kifo cha CHADEMA.
Tatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.
Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ufanye juhudi kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.
Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.
Subiri mazishi yake mwaka 2020 labda ndio utajua maana ya kifo cha CHADEMA.
Kwa uchunguzi wangu humu jf , umekuwa ukiiandika Chadema mara nyingi zaidi kuliko hata unavyowasalimia wazazi wako huko geita , sasa chama kilichokufa cha nini kuhangaika nacho mkuu .CHADEMA ishakufa mbona.
Wasira aliitabiria kifo akiwa waziri kumbe ni yeye alikufa kisiasa na kuiacha cdm imaraWakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko hata juhudi za kishirikina zinazoendeshwa na maofisa na wachovu za kuhakikisha Chadema inakufa , haya yamefanyika kwa kipindi kirefu na yamefanywa wazi wazi na mengine yamefanyika gizani
Binadamu wamenunuliwa na wengine wamejiuza mchana kweupe , utu umewekwa kando unyama umechukua nafasi , wabunge na viongozi wengine wamefungwa jela na wengine kushambuliwa na kuuawa , pamoja na yote haya lakini Chadema haifi wala hata hakuna dalili ya kutundikiwa dripu la D5
Sasa nawauliza wanazuoni , hii Chadema itakufa lini , mbona hakuna hata dalili ya kifo chake , au Mtoa roho yuko likizo ?
Mwenyekiti wako anayo majibu
Umeniudhi sana maana yote niliyotaka kuandika umeyawai si tabia nzuriTatizo la mtu mwenye akili kiduchu anadhani mtu anaposema CHADEMA inakufa anadhani ni kama kifo cha binadamu.
Hata NCCR-Mageuzi ilikuwa ni chama kikuu cha upinzani lakini leo hii inabidi ufanye juhudi kubwa hata kuwapata wanachama wake achilia mbali mashabiki wake.
Kwa kukusaidia naomba uelewe kuwa Watu wanaposema kifo cha CHADEMA wanamaanisha ni kama ilivyo NCCR-Mageuzi ya sasa.
Subiri mazishi yake mwaka 2020 labda ndio utajua maana ya kifo cha CHADEMA.
Chama chote kiko jirani kinaelekea jele. Hakiwezi kufa ila shughuli zake zote chama kitakuwa kinazifanyia jela. Nahii ni tabia na akili za malofa.Wakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko hata juhudi za kishirikina zinazoendeshwa na maofisa na wachovu za kuhakikisha Chadema inakufa , haya yamefanyika kwa kipindi kirefu na yamefanywa wazi wazi na mengine yamefanyika gizani
Binadamu wamenunuliwa na wengine wamejiuza mchana kweupe , utu umewekwa kando unyama umechukua nafasi , wabunge na viongozi wengine wamefungwa jela na wengine kushambuliwa na kuuawa , pamoja na yote haya lakini Chadema haifi wala hata hakuna dalili ya kutundikiwa dripu la D5
Sasa nawauliza wanazuoni , hii Chadema itakufa lini , mbona hakuna hata dalili ya kifo chake , au Mtoa roho yuko likizo ?
Wakuu asalam Aleykhum , baada ya salamu hizi za upendo nijikite moja kwa moja kwenye hoja yangu
Kumekuwa kuna juhudi kubwa sana zilizo rasmi na zisizo rasmi za kuhakikisha Chadema inakufa , ziko hata juhudi za kishirikina zinazoendeshwa na maofisa na wachovu za kuhakikisha Chadema inakufa , haya yamefanyika kwa kipindi kirefu na yamefanywa wazi wazi na mengine yamefanyika gizani
Binadamu wamenunuliwa na wengine wamejiuza mchana kweupe , utu umewekwa kando unyama umechukua nafasi , wabunge na viongozi wengine wamefungwa jela na wengine kushambuliwa na kuuawa , pamoja na yote haya lakini Chadema haifi wala hata hakuna dalili ya kutundikiwa dripu la D5
Sasa nawauliza wanazuoni , hii Chadema itakufa lini , mbona hakuna hata dalili ya kifo chake , au Mtoa roho yuko likizo ?
Umeniudhi sana maana yote niliyotaka kuandika umeyawai si tabia nzuri
Chama chote kiko jirani kinaelekea jele. Hakiwezi kufa ila shughuli zake zote chama kitakuwa kinazifanyia jela. Nahii ni tabia na akili za malofa.
Asante sana mkuu , nimuombe Moderator aliunge hili andiko lako pale juu kwenye uzi wangu , umejaza nyama nyingi sana !Chadema ina roho ya paka kama unavyojua Mkuu imetabiriwa vifo miaka mingi iliyopita lakini bado inadunda tu na kumuweka dikteta na vikaragosi vyake roho juu
Kwanza walikuja na uzushi kwamba Chadema ni chama cha Wachagga na Wakristo lakini uzushi wao haukufua dafu kwani Chadema iliendelea kupata umaarufu kila kona ya nchi hata kule kwenye wachagga wachache sana pia wakristo wachache sana.
Kilwete aliwahi kutamka kwenye sherehe za mei mosi kwamba Chadema wanataka kusababisha umwagaji damu nchini lakini hilo pia halikufua dafu
Mfojaji vyeti mwingine mwigulu nchemba akatengeneza sinema UCHWARA dhidi ya Lwakatare ili kuonyeshs Chadema ni chama cha magaidi lakini hili nalo halikufua dafu kwani kesi ambayo mwigulu alimbambikia Lwakatare ikapigwa chini mahakamani mara tatu pamoja na ushahidi FAKE wa mwigulu aliodai ungekubalika hadi mbinguni.
Wakaja na mkakati wa kumdhoofisha Mbowe kwenye biashara zake na ukulima kwa kuivunja Bilicana na kung’oa mazao kwenye shamba lake lakini Mwenyekiti pamoja na kukataa na majonzi makubwa ya kuonewa na huyu dikteta dhalimu hakukata tamaa akaendelea kuliongoza jahazi la Chadema kwa umahiri mkubwa sana.
Wakaja na mkakati mwingine wa dikteta na dhalimu kuwanunua Wabunge na Madiwani wa Chadema lakini huu uhuni wao pia ukagonga ukuta kwani idadi ndogo waliyoipata haikuwaridhisha pamoja na kuja na “dirisha dogo la usajili”
Wakaamua kuwabambikia kesi viongozi wote wa juu wa Chadema kwa kuandamana kudai haki yao wakati wa uchaguzi wa madiwani. Kesi ambayo inaendelea kwa miezi kadhaa sasa na ndiyo chanzo cha makamanda Mbowe na Matiko kuwekwa lupango kwa miezi miwili sasa. Hii kesi pia inaweza kuishia kwa viongozi wote katika kesi hii FAKE kufungwa kwa miezi sita au hata zaidi ikiwa ni mkakati wa kuidhoofisha Chadema kuelekea 2020.
Tukumbuke pia kuna viongozi wengi wa Chadema ambao waliwekwa lupango nyakati mbali mbali na wengine kufungwa na wengine kuuwawa. Kuna akina Ben Saanane, Kamanda Mawazo, lijualikali, Sugu, Lissu, Msigwa, Halima Mdee, Esther Bulaya, Heche, Msigwa na wengine chungu nzima.
Tusisahau shambulio la kutaka kumuua Lissu. Pamoja na kumminia risasi 38 lakini Mwenyezi Mungu mkubwa bado yuko hai na akili zake timamu.
Sasa huyo dikteta dhalimu amekuja na muswaada wa vyama vya siasa nia kubwa ni kuhakikisha wanaimaliza kabisa Chadema kupitia kikaragosi kingine cha dikteta wenyewe wanamuita msajili wa vyama vya siasa.
Chadema iko mioyoni mwa Watanzania wengi wenye mapenzi ya kweli na Tanzania na imesambaa nchi nzima na wala si chama cha magaidi, kinachotaka kuleta umwagaji damu nchini au cha Wachagga na wakristo. Chadema ni chama cha WATANZANIA wote bila kujali makabila yao au dini zao.
Mwenyezi Mungu ibariki Chadema 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Alutta continua! CONTINUA! ✌🏼✌🏼✌🏼
Asante sana mkuu , nimuombe Moderator aliunge hili andiko lako pale juu kwenye uzi wangu , umejaza nyama nyingi sana !
Hata pia Hana jibu la kifo cha taasisi kubwa ya Wananchi.Who is he after all?Wasira atusaidie kujibu hili.