CHADEMA: Itajutia Matusi kwa Mwal.Nyerere

CHADEMA: Itajutia Matusi kwa Mwal.Nyerere

Huwezi ukachezea tunu za taifa ukabaki salama!
Tundu Lissu is alive only because it is illegal to kill him.
 
Alcho2kanwa hapo huyo mzee ni kipi? Hebu achen ushabik jaman hiyo mipasho wanayotoa hao wafuas wa ccm na kubainisha hadharan kuwa serikal2 ni za chama chao bila aina hiyo ndo busara, ina maana ww ukimshaur baba ako mbadil mfumo alioweka hapo awali ni kumtukana? Hebu amken nyie mnaojiita great thinkers
 
Hiki chama cha Chadema kitajuta kumtukana muasisi wa hili taifa,kitajuta Na hakitabaki salama,huu ni ufunuo ambao hakika hautapita.

Ibrahimu katika biblia anaitwa Babà,wa imani ni haijalishi aliwahi kufanya uzinzi Na kuzaa nje ya ndoa Na bi hajra,lakini imani yake ilidumu Na aliheshimiwa Na Yehova.

Tunapohubiri tunaangalia imani yake hatuhubiri kumkejeli.

Hata mwalimu,ni Icon ya taifa alipaswa kuheshimiwa Na suo kutukanwa Kama huyu kichaa wa chadema alivofanya huku alimulikwa Na kamera za television ya Taifa.

Tundulisu shukuru kingukitano sio Rais hakika ningekupoteza

Huu unafiki wa manyinyiemu ni balaa wapo walio mkimbia nyerere na chama chake wakati wa uhai wake wakahama kwenda upinzani eti leo wanajifanya ndio watetezi wake baada ya kufa mfano huyu Nyani wassira tehe tehe
 
Hivi kusema UKWELI ndio matusi?! Nyerere hakustahiki kupewa sifa alizopewa.UKWELI usemwe tu japo ni mchungu.
 
Nyie MLIOMUUA mnajiweka kundi gani? laana ya kutukana na Kuua ipi umtafuna sana mtu?
Laana ya Kuua mpaka uwe umetumia Mkono wako lkn nikikuagiza muuwe Baba yako ni wewe uiyeua ndio ULAANIWE
Lakini ukimtukana kwa maneneo Baba yako au Mama yako au Baba wa wote huo mdomo wako ndio uliotamka na LAANA ikupate
Sasa mtu keshakufa wewe unazidi kumtukana,
Shukuruni mabadiliko ya Sheria yaliyoongezwa na Tume ya Jaji Kissanga, leo wengi wangekuwa Kizuizini (Kilwa masoko) muulizeni Mapalala
Kosa si kutu tu hata kuiweka picha ya Rais au Baba wa Taifa miguu juu kichwa chini sembuse kuipindua Noti au shilingi hahaaaaa hahaaaaaaaa teh teh
 
Lisu lazma alaaniwe kwa upuuzi huu na Cdm haitakua salama
 
Hiki chama cha Chadema kitajuta kumtukana muasisi wa hili taifa,kitajuta Na hakitabaki salama,huu ni ufunuo ambao hakika hautapita.

Ibrahimu katika biblia anaitwa Babà,wa imani ni haijalishi aliwahi kufanya uzinzi Na kuzaa nje ya ndoa Na bi hajra,lakini imani yake ilidumu Na aliheshimiwa Na Yehova.

Tunapohubiri tunaangalia imani yake hatuhubiri kumkejeli.

Hata mwalimu,ni Icon ya taifa alipaswa kuheshimiwa Na suo kutukanwa Kama huyu kichaa wa chadema alivofanya huku alimulikwa Na kamera za television ya Taifa.

Tundulisu shukuru kingukitano sio Rais hakika ningekupoteza

Kama CCM mnasema CHADEMA kupitia kwa Tundu Lissu, Mbona CCM mnamtukana Waryoba na Tume yake tena mnamwombea kifo. Mbona watu wamenyamaza kimya. Kumbe Mkuki kwa Nguruwe? Ukitaka kutushawishi onyesha hayo Matusi na vielelezo vyako. Tundu alinukuu, maandishi na vielelezo wewe unapiga porojo...
 
Huyo mnayemuabudu na kumtukuza baba wa taifa niambieni nijue MAMA WA TAIFA NANI?? KARUME??? Mi baba yangu ni Mungu muumba mbingu na nchi,
 
Tukubali tukatae Baba wa Taifa kuna mahali pia alikosea.....Makosa lazima yasemwe na mazuri pia lazima yasemwe..
 
We Chadegongo hata Khomein wa tengeru aka Mtei ameshushwa Na uwendawazimu wa Lissu,Na kuonya Chadegongo kutorudia ufumbafu huu

umetoka kutumika au??? Nahisi watakwa wamekuruka ukuta wewe si bure ,, unaongea pumba kama huna kichwa vile, mishipa mingine bana ptuuu!
 
Usitulazimishe kuabudu miungu,tunaye baba yetu aliye mkamilifu, kama Nyerere ni mungu wako, basi nenda ukafie mbali
 
Back
Top Bottom