UZITTO na UMBOWE utaua CHADEMA.
Nampenda sana Mbowe ila nachunguza sana kauli za wanasiasa zikijigonga tu basi. Nakubali kakifikisha chama mbali na spidi kubwa. Ila CHADEMA HAKUNA MTU MWENYE NGUVU NA ASIYEONGEKA NA MVUMILIVU.
Kumtoa nguvu kabisa Propaganda zilizopo zidi yake. Awe katibu ila katiba ya chama impe mamlaka zaidi. LEMA GODBLESS, HALIMA MDEE, VICENT NYERERE au DR SLAA wapewe.
Naamini kasi itaongezeka.
Chama kitadumaa na kujieneza kwa mbunu zilezile. Basi asimamie uanzishwaji wa magazeti ya chama na redio. Kitu ambacho hawezi kufanya kwa maslahi ya media zake.
2015 CCM Itashinda kwa mbinu zilezile za nyimbo za kina DIAMOND,CHEGE,KOMBA,BUSHOKE NA NGWEA.
Kwani mipango ya chadema haifiki vijijini ndani. Endeleeni kujifaliji tutashinda tu. Na unafiki wa kusifu ujinga kuonesha unapenda chama mi cwezi