The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,280
Hizi zinaitwa bhangi za alfajiri.Wewe nadhani utakuwa unaumwa ugonjwa wa kulewa uongo uongo wa wapinzani, yaani hicho chama kwanza hakipo kabisa, kimepotea kabisa kabisa, yaani kilichobaki ni kakikundi ka watu fulani wenye kuendesha majungu majungu. CCM ni CCM wala huwezi kufananisha na hicho kikundi
Nakubaliana na wewe hata mimi ningependa hata leo aachie, lkn kwa mazingira haya sioni wa kuhimili mikiki ya watawala, mikiki ya TRA nk, Mbowe kama ni mali anajitoshereza hahongeki kirahisi angekuwa mwingine siku nyingi angeshafika bei, kama unataka Mkiti for the sake ya sura mpya OK.Mimi sisemi Mbowe apumzike uenyekiti kisa hilo kosa la Lowassa tu, bali ameshakaa madarakani kwenye nafasi ya uenyekiti zaidi ya miaka 15, hapo ndio dhana ya taasisi ingepata maana kwa kuchagua mwenyekiti mwingine. Jaribu kuangalia kiongozi mzuri ni ndani ya miaka kumi tu kwenye nafasi moja, lakini akizidi miaka kumi huanza kuongoza kwa mizengwe na maamuzi kama hayo ya kumpokea Lowassa. Hili wala halihitaji ubishani kwani ndio uhalisia. Mwisho kabisa wa ubora wa Mbowe ilikuwa ni 2015 hata kama cdm ingetoa rais, ukweli uwezo wake kwa sasa umefikia ukingoni.
Hizo ni hisia zako naziheshimu siwezi kuzizuia.Wewe nadhani utakuwa unaumwa ugonjwa wa kulewa uongo uongo wa wapinzani, yaani hicho chama kwanza hakipo kabisa, kimepotea kabisa kabisa, yaani kilichobaki ni kakikundi ka watu fulani wenye kuendesha majungu majungu. CCM ni CCM wala huwezi kufananisha na hicho kikundi
Vipofu wanaongozana na kufarijiana eti Chadema itadumu, mwenye akili timamu anatambua kuwa wali wa kushiba huonekana kwenye Sahani hivyo 2020 Chadema +Cuf+ACT=NLD ya leo, time will tell
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio hoja yako kupinga hoja ya mleta uzi? Kama hii ni hoja nayo basi huna tofauti na wale wendawazimu waokotao makopoWewe nadhani utakuwa unaumwa ugonjwa wa kulewa uongo uongo wa wapinzani, yaani hicho chama kwanza hakipo kabisa, kimepotea kabisa kabisa, yaani kilichobaki ni kakikundi ka watu fulani wenye kuendesha majungu majungu. CCM ni CCM wala huwezi kufananisha na hicho kikundi
Wewe nadhani utakuwa unaumwa ugonjwa wa kulewa uongo uongo wa wapinzani, yaani hicho chama kwanza hakipo kabisa, kimepotea kabisa kabisa, yaani kilichobaki ni kakikundi ka watu fulani wenye kuendesha majungu majungu. CCM ni CCM wala huwezi kufananisha na hicho kikundi
Hadi raha aisee.
Nakubaliana na wewe hata mimi ningependa hata leo aachie, lkn kwa mazingira haya sioni wa kuhimili mikiki ya watawala, mikiki ya TRA nk, Mbowe kama ni mali anajitoshereza hahongeki kirahisi angekuwa mwingine siku msingi angeshafika bei, kama unataka Mkiti for the sake ya sura mpya OK.
Mkuu Tindo nakushauri ufungue uzi maalum kabisa kuhusu jambo hili , upange vizuri sana halafu watu wote tutakuja huko kuchangia , nina hakika ufumbuzi na majibu yatapatikana tuMkuu huu utetezi nimeanza kuusikia zaidi ya 8yrs sasa. Kwamba kila wakati utetezi huwa ni kwamba mazingira hayaruhusu, tusipoangalia anaweza kukaa miaka 30 kwa kisingizio cha hali iliyopo hairuhusu. Kwa mfano sasa Magufuli atakaa 10 yrs madarakani, ni dhahiri Magufuli sio rafiki wa demokrasia, hiyo pekee inaweza kumfanya Mbowe akae madarakani zaidi ya 25yrs kwa kisingizio cha hali hairuhusu.
Tuje kwenye uhalisia, mpaka sasa Mbowe ni mwenyekiti lakini wabunge na madiwani wengi wameondoka kwa kununuliwa, chaguzi zote zinaendeshwa kibabe huku chama kikiporwa kura kiwaziwazi na wala haendi mahakamani kama ameshindwa kuitisha nguvu ya umma. Juzi mbunge wake amefutwa ubunge huku yeye na uongozi wa chama ukiwa hauna taarifa za mahudhurio yake huko bungeni. Ofisi ya chama ambayo kila siku tunatukanwa hapa jukwaani iko vile vile, hata huyo Lowassa aliyepokelewa na kusifiwa ni tajiri alikuwa haendi hapo ofisini kwamba haina hadhi, Mbowe alishindwa hata kumshawishi ajenge ofisi ya below 500m? Hakuna matawi mapya yanafunguliwa tukasikia baada ya hii 2015 japo kweli mazingira ya kisiasa sio mazuri, lakini sio utetezi wa kuringia.
Mkuu kama mapungufu yote hayo yanatokea huku yeye akiwa mwenyekiti ni muujiza upi ataufanya zaidi ya haya yanayoendelea sasa na atayafanya lini? Shida Mbowe alishindwa kukubali dhana ya kupokezana vijiti hali ikiwa nzuri enzi za JK, akawa na tamaa ile ile waliyonayo viongozi wote wa kiafrika kupenda madaraka. Kama bado unaamini Mbowe anastahili kuendelea kuwa mwenyekiti zaidi ya muda aliokaa, halafu umekuja na post ndefu kwamba cdm ni taasisi naona kama unatuona watoto. Tukubali tu kwamba wakati ni ukuta, mwambie Mbowe maana najua mnakutana mwambie kuna mtu anajiita Tindo wa jf namshauri kiroho safi kwamba ubora wa kiongozi ni miaka 10 tu, nje ya hapo anajiandaa kufuta ubora wa kazi yake kwa mikono yake.
Wewe nadhani utakuwa unaumwa ugonjwa wa kulewa uongo uongo wa wapinzani, yaani hicho chama kwanza hakipo kabisa, kimepotea kabisa kabisa, yaani kilichobaki ni kakikundi ka watu fulani wenye kuendesha majungu majungu. CCM ni CCM wala huwezi kufananisha na hicho kikundi
Mleta uzi uko sahihi sana kuhusu cdm. Ila cdm 2015 ilituangusha sana kwa tamaa ya viongozi wachache kukubali kuchukua asali ya Lowassa na kumpa nafasi adhimu mzee toka ccm aliyetaka urais tu bila kujali chama. Lile ni kosa la wazi na kubwa sana kufanywa na taasisi. Sikutegemea taasisi kubwa kama cdm ingeweza kufanya maamuzi mazito kwa kuchukua mgombea ambaye hata Mimi nisiyejua siasa nilijua kabisa ni kosa la dhahiri. Kwa kosa lile ni dhahiri Mbowe anapaswa kuachana na uenyekiti na kumuachia mtu mwingine ili tuanze upya.
Halafu cheo muhimu cha katibu mkuu ndani ya cdm kimepwaya mno kiasi kwamba kuendelea kuwa na katibu mkuu kama huyo ni kosa kubwa. Kwa sasa tunapaswa kuwa na katibu mkuu mtu kama Heche au Marcos Albanie. Huyo katibu mkuu wa sasa kachangia kuifubaza sana cdm.
Mkuu Tindo nakushauri ufungue uzi maalum kabisa kuhusu jambo hili , upange vizuri sana halafu watu wote tutakuja huko kuchangia , nina hakika ufumbuzi na majibu yatapatikana tu
Ukiondoa uchama dola ccm nyepesi km pambaUkiondoa hiyo ruzuku chadema hamna kitu
Dkt Marcus Albane anafaa kua KM wa chama, ila nafasi ya mwenyekiti nani mbadala wa Mh. Mbowe!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema kweli kabisa mkuu, Chadema ukiiangalia mtiririko wa uhamaji wa viongozi wake ngazi ya kitaifa unaona kile unachokisema.
Aliondoka Katibu Mkuu Dr Kabour chama kikabaki imara.
Aliondoka Zitto Kabwe (Kaimu Katibu) yakatabiriwa mengi sana yahusuyo anguko la Chadema lakini ikawa kinyume chake.
Akaondoka Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara.
Akaja kuondoka Dr Slaa, hapa ndio wengi waliamini anguko la Chadema lilipo, lakini nguvu ya umma ilionesha kuikubali Chadema.
Kwa mtiririko huo wa kukimbia viongozi wakubwa ingekuwa chama kingine cha upinzani kingeyumba sana, tuliona Cuf mgogoro wa wawili ukaua chama.
Mkuu ametoa hoja nzuri sana ila yeye amejikita kwa madhaifu hiyo ni haki yake kabisa, lakini ukweli ni kwamba Chadema kwenye uimara wa Kitaasisi hakuna chama chochote cha upinzani kilivyo na nguvu kama Chadema.
Leo hata Mbowe akimbie mapambano Chadema itakuwa imara sana kama ilivyo.
Nakushukuru sana , japo niliomba uanzishe hii kitu kwa nia njema kabisa , kwa sababu ninatambua kwamba unazo hints fulani zinazoweza kutusaidia kupata ufumbuzi wa jambo hili na hasa wadau wengi wakifunguka , binafsi sitaweza kufungua uzi kuhusu hili kwa vile nina Conflict of interest , sitaitendea haki jf na wadau wakeMkuu nashukuru sana kwa ushauri wako, kwa bahati mbaya mimi sio muanzishaji mzuri wa nyuzi kama walivyo wengine, ila ninaweza kuchangia sana uzi unapoletwa jukwaabi. Toka nimejiunga hapa jukwaani nina almost 9yrs sasa. Sidhani kama nimefikisha post 5 nilizoanzisha mwenyewe. Sina kipaji hicho, nadhani umeona nilichochangia, ni vyema ww ukatumia kipaji chako ukaanzisha uzi kuhusu haya unayodhani hayawezi kupata majibu hapa hapa ila ndani ya uzi rasmi. Kwa mfano mwanajf mwenzetu japo ni mwanaccm aitwae Brittanica hubeba michango yangu kila mara na kuanzisha mada. Nakupa heshima hiyo mkuu, anzisha mada hiyo nitakuwa namba moja kwenye kuichangia.