Umeshawahi kusikia waliofeli Ndoa wanavyojifanya washauri?Mbona siku hizi washauri wa Chadema wanazidi kuwa wengi? kulikoni!!!!
Mkuu shukran... Kujitoa kwa CUF Arumeru kumenisikitisha sana kutokana na sababu walizozisema. Kama wangejitoa na kusema hawana imani na NEC na hivyo kuviomba vyama vingine vijitoe vile vile ningewapa salute!...Kusema kweli binafsi sioni sababu kabisa ya vyama vya Upinzani kuendelea kugombea ubunge na Udiwani mdogo kupitia NEC ambayo inaendelea kutumia mfumo mbovu unaowakandamiza. Ni lini vyama hivi vitaweza kudai demokrasia ya kweli ambayo ni haki yao?... Nakumbuka sana kwamba Igunga watu wameuawa na sijui kama serikali inajali wala kufuatilia sheria ya vifo vile!.Inawezekana ni ushauri mzuri lakini umetazama "financial risks and returns only", you have not looked at the "political implications". Labda nikuulize swali dogo ambalo wewe naamini hukujiuliza, CCM watasemaje baada ya CHADEMA kujitoa???
=Suala la uanachama wangu CDM halina kificho,kama mwanachama nina haki ya kutoa ushauri, pia nimesema think critically unaweza kuona point, usiwe mwepesi kupinga mawazo hadimu. Tatizo lako mtu akiwa na wazo mbadala wajua ni CCM, BADILIKA KIMTAZAMO wewe
Mkuu shukran... Kujitoa kwa CUF Arumeru kumenisikitisha sana kutokana na sababu walizozisema. Kama wangejitoa na kusema hawana imani na NEC na hivyo kuviomba vyama vingine vijitoe vile vile ningewapa salute!...Kusema kweli binafsi sioni sababu kabisa ya vyama vya Upinzani kuendelea kugombea ubunge na Udiwani mdogo kupitia NEC ambayo inaendelea kutumia mfumo mbovu unaowakandamiza. Ni lini vyama hivi vitaweza kudai demokrasia ya kweli ambayo ni haki yao?... Nakumbuka sana kwamba Igunga watu wameuawa na sijui kama serikali inajali wala kufuatilia sheria ya vifo vile!.
Ndio maana nikasema bora hata hao madaktari waliodai haki yao sasa naanza kuelewa japokuwa napinga maamuzi yao yaliyokuwa makili sana kwa wananchi, lakini mwisho wa siku wamefanikiwa kupata walichokitaka.
Nakubaliana na wewe sana tu lakini nadhani kwa vyama ni muhimu kutazama sababu za wananchi. Huyo Tambwe kasema anavyojua yeye kulingana na siasa za CCM lakini ukweli ulikuwa UPi?.. wananchi wanajua hata wakishiriki uchaguzi dhidi ya CCM bado CCM itashinda..Wananchi chaguzi zote inaonyesha wazi kwamba hesabu inazidi kupungua iwe ni kwa uchakachuaji wa CCM ama kweli na kushuka kwa wapiga kura ni SAUTI ya wananchi kutoridhika na mfumo wa Uchaguzi..At some point I have had ideas of this kind, lakini ni vizuri pia tuangalie siasa zetu na mapana yake. Well, politics is a dirty game but in Africa is even dirtier, personally siamini kama kususia uchaguzi kunaweza kuwa na impact kubwa sana na viongozi wetu, kitachofuatia ni wao kujisifu kuwa tumeshinda kwa kishindo na wao "Walikosa sera na wameamua kukimbia".
Nakumbuka Tambwe Hizza wakati wa uchaguzi mdogo wa Kiteto (if am not miskaten), aliulizwa sababu ya wananchi kutojitokeza kwenye uchaguzi, moja ya sababu alizotoa ni "watu wameridhika na utawala uliopo, hawakuwa na sababu ya kupiga kura". Chama tawala chenye watu wa aina ya Komba, Prof. Maji Marefu, Lusinde etc, unadhani kitasema nini Chadema ikijitoa?? Umesikia kauli ya Nape aliyotoa kuhusu Dr Slaa kugombea Arumeru Mash., ndio zitakazoendelea mpaka 2015 kama CHADEMA itajitoa.
Lakini hata ukiangalia the aftermath of Igunga elections, CCM won the seat, but politically CHADEMA won the contest. By elections are an indicator to the current political situation after the general election. Nina hakika CCM watapigana KUFA NA KUPONA ili washinde hichi kiti. LOSING WILL BE A POLITICAL DISASTER TO THEM, WINNING WILL BE A VINDICATION OF 'KUVUANA MAGAMBA'.
Umesahau kauli za CCM baada ya uchaguzi Igunga, eti wananchi wanakubali mabadiliko ndani ya chama, they didint even care kama wamepoteza kura nyingi sana from the 2010 general election. CHADEMA wasijitoe, never never
Ushauri mwingine bana.........na sawa na kumwambia mmarekani aukane uraia wake ili awe mtanzania kitu ambacho hakiwezekani............kwani ccm na ccm-b wanaongeza nini wakipata arumeru?
Asante kwa ushauri wako
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.
Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically. CDM, Kimbilio Letu, wengine ni Wababaishaji Tu!
Nakubaliana na wewe sana tu lakini nadhani kwa vyama ni muhimu kutazama sababu za wananchi. Huyo Tambwe kasema anavyojua yeye kulingana na siasa za CCM lakini ukweli ulikuwa UPi?.. wananchi wanajua hata wakishiriki uchaguzi dhidi ya CCM bado CCM itashinda..Wananchi chaguzi zote inaonyesha wazi kwamba hesabu inazidi kupungua iwe ni kwa uchakachuaji wa CCM ama kweli na kushuka kwa wapiga kura ni SAUTI ya wananchi kutoridhika na mfumo wa Uchaguzi..
Kwa hiyo wewe jiulize hutakwenda kupiga kura kwa sababu gani?.. na waulize watu wengi kwa nini hawaendi kupiga kura utaambiwa sababu ni hii tu sii kwamba wananchi wanaridhika na CCM, wameichoka sema hakuna chama kinacho watazama wao isipokuwa maslahi ya chama. Wee soma hata hoja za watu hapa JF ni kuhusu maslahi ya Chadema au CCM au CUF wananchi tunajichopeka tu kukidhi matakwa ya vyama.
Kwa hiyo kikitokea chama ambacho kinapinga au kuwakilisha wananchi nina hakika wananchi watakuwa nyuma yao. Chadema wamepata Umaarufu kutokana na kuonyesha kujali maslahi ya wananchi iwe zile hotuba za Dr.Slaa na Zitto au Mbowe lakini wote hawa walizungumzia matatizo ya wananchi na kuanza vita dhidi ya Ufisadi kwa vitendo.. Kupinga Richmond, Buswagi, List of Shame na kadhalika lakini sasa hivi yamekwisha kila chama kinaangalia maslahi yake. Na utakuja nambia utaona hata Arumeru watu wakataoshiriki kupiga kura watakuwa wachache sana ukilinganisha na mwaka 2010.
Umeshawahi kusikia waliofeli Ndoa wanavyojifanya washauri?
Basi ndio waliovamia JF, ya kwao yamewashinda, wanatimua hadi wazee wao wenyewe....
Haaaa! Haaa CCM hawawezi kung'oka wanajua kugawa pilau ktk masinia ya kura. Chadema imeshinda majimbo ambayo CCM ilitaka kuonyesha wananchi na vyombo vya kimataifa kwamba Uchaguzi wao ni free and fair hakuna mushkeri lakini wakiona wanashindwa ubunge na Urais kama ilivyotokea Zanzibar wataiba tu, tena hawana haja ya kuiba NEC akitangaza mshindi mahakama ina nafasi ndogo sana ya kupinga japokuwa tunaaminishwa hivyo.Nakuelewa ndugu, watu wengi hawana imani na mfumo uliopo wa kubadilisha viongozi i.e UCHAGUZI. Lakini kuna njia mbili tu za kubadilisha viongozi kwenye nchi, either kwa kura au kwa nguvu.
Sasa watanzania kuna mkanganyiko mkubwa hapa, hawaamini katika kutumia kura na hawataki kutumia nguvu. Tunasubiri huruma za Magamba katika hili, it wont happen.
Lakini binafsi bado naamini kama wananchi wakashiriki kupiga kura kwa wingi na kuhakikisha kuwa wanazilinda kura zao, hawa magamba wanang'oka tu. Hata wizi una ukomo wake, tumeona yaliyotokea Mbeya mjini, Ilemela, Nyamagana, Arusha Mjini nk. Hawakupenda, lakini mwamko wa wananchi katika kupiga kura na kuzilinda uliwapa ushindi Chadema.
Wajikite katika haya mawili, kuhimiza watu kupiga kura halafu ulinzi wa kura zenyewe.
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.
Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically. CDM, Kimbilio Letu, wengine ni Wababaishaji Tu!
Mkuu shukran... Kujitoa kwa CUF Arumeru kumenisikitisha sana kutokana na sababu walizozisema. Kama wangejitoa na kusema hawana imani na NEC na hivyo kuviomba vyama vingine vijitoe vile vile ningewapa salute!...Kusema kweli binafsi sioni sababu kabisa ya vyama vya Upinzani kuendelea kugombea ubunge na Udiwani mdogo kupitia NEC ambayo inaendelea kutumia mfumo mbovu unaowakandamiza. Ni lini vyama hivi vitaweza kudai demokrasia ya kweli ambayo ni haki yao?...
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.
Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically. CDM, Kimbilio Letu, wengine ni Wababaishaji Tu!
Haaaa! Haaa CCM hawawezi kung'oka wanajua kugawa pilau ktk masinia ya kura. Chadema imeshinda majimbo ambayo CCM ilitaka kuonyesha wananchi na vyombo vya kimataifa kwamba Uchaguzi wao ni free and fair hakuna mushkeri lakini wakiona wanashindwa ubunge na Urais kama ilivyotokea Zanzibar wataiba tu, tena hawana haja ya kuiba NEC akitangaza mshindi mahakama ina nafasi ndogo sana ya kupinga japokuwa tunaaminishwa hivyo.
Nina hakika Chadema walishinda zaidi ya majimbo unayoyasema na mfano mzuri Seif Hamad alishinda kwa zaidi ya asilimia 80 na CUF walishinda majimbo mengi kuliko CCM tena wala sii kidogo lakini majibu yaliyotoka yangekuwa kashfa kubwa lakini wananchi wakapozwa na serikali ya mseto iliyoandaliwa mapema wakijua CCM ushindi Zanzibar haiwezekani. Leo hii CUF kushinda Zanzibar itakuwa kazi mpya maana tayari CCM wameisha chukua utamaduni wa Wazanzibar na kuongea kama Wazanzibar kuliko CUF waasisi wa mageuzi. That is CCM my brother!
Nakuhakikishia CCM haiwezi kuondoka madarakani kwupitia sanduku la kura, Chadema inaweza kushinda Arumeru na pengine CCM watatumia uchaguzi kama huu kuangalia upepo na kwa fikra zangu CCM haitakubali kulipoteza jimbo hili kutokana na kwamba liko karibu na Arusha hivyo hawataki kupoteza majimbo mengi sehemu muhimu kaa hiyo. Na ikitokea wakiachia bado wana majority bungeni lakini kama Arumeru ingekuwa ndio jimbo la kuamua ushindi wa bungeni CCM wasingekubali kushindwa..
Mimi nachotazama ni interest za wananchi, sioni sababu kabisa ya Chadema na vyama vya Upinzani kushiriki Arumeru wala majimbo yaliyopita badala ya kutumia nafasi kama hizi kuandaa mazingira bora ya uchaguzi wa mwaka 2015. Wakisusa leo ikatokea jimbo jingine na jingine huku wakieneza siasa za kutoridhika na NEC basi itabidi bunge libadilishe muundo wa NEC na mahakama ipewe mamlaka juu ya NEC ktk vipengele vyote. Wakati ndio huu na wananchi wakipata mwamko wanaweza kutumia nguvu za Umma maana kama unakumbuka siku zote wananchi wamekuwa wakiuliza viongozi wa vyama vya Upinzani kama kuna maandamano au maandalizi yoyote ya kupinga utawala huu.
Na mara zote JK na UWT wamekuwa wepesi kuzima maandamano ambayo wanajua fika chanzo chake kitatokana na vyama maana sisi wenyewe hatuaminiani kuna unafiki mkubwa sana. Mtu anacheka na wewe usoni tu ukimpa mgongo habari zako tayari zimeisha fika upande wa pili, bora siye kina Mkandara tukichukia kitu tunakiweka wazi hata mhusika anakisoma anajua msimamo wako na ndio wanatuona wabaya sana kuliko wale wanaowachekea lakini wanakunyonga bila wewe kujijua.
MkandaraHaaaa!Haaa CCM hawawezi kung'oka wanajua kugawa pilau ktk masinia ya kura. Chadema imeshinda majimbo ambayo CCM ilitakakuonyesha wananchi na vyombo vya kimataifa kwamba Uchaguzi wao ni free and fairhakuna mushkeri lakini wakiona wanashindwa ubunge na Urais kamailivyotokea Zanzibar wataiba tu, tena hawana haja ya kuiba NEC akitangazamshindi mahakama ina nafasi ndogo sana ya kupinga japokuwa tunaaminishwa hivyo.
Nakuhakikishia CCMhaiwezi kuondoka madarakani kwupitia sanduku la kura, Chademainaweza kushinda Arumeru na pengine CCM watatumia uchaguzi kama huu kuangaliaupepo na kwa fikra zangu CCM haitakubali kulipoteza jimbo hili kutokana nakwamba liko karibu na Arusha hivyo hawataki kupoteza majimbo mengi sehemumuhimu kaa hiyo. Na ikitokea wakiachia bado wana majority bungeni lakini kamaArumeru ingekuwa ndio jimbo la kuamua ushindi wa bungeni CCM wasingekubalikushindwa..