Mbona siku hizi washauri wa Chadema wanazidi kuwa wengi? kulikoni!!!!

Umewashauri CUF wamejitoa nina mashaka kama CDM watakubali. Kwanza karudishe kadi ya chama chako na kuchukua kadi ya CDM ili wajenge imani na wewe. Ushauri wako umezingirwa na hofu ya kuanguka kwa chama chako. Siasa ya vyama vingi ipo kikatiba iweje unavunja katiba kwa kupunguza ushindani wa vyama? Kwenye mpira hiyo ni rushwa nadhani hata kwenye siasa ni rushwa pia kutumia ghiriba na ulaghai kuhamasisha vyama kujitoa kwenye uchaguzi.
Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.
Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically. CDM, Kimbilio Letu, wengine ni Wababaishaji Tu!

Kwanini usiwashauri CCM kujitoa kwa vile hata wakishinda still watabaki na majority bungeni.
Ni ukosefu wa umakini kutumia milioni 500 kwa Jimbo moja wakati kiasi kama hicho kinaweza kutumika kukijenga chama takribani katika kila Jimbo nchini. Swali la kujiuliza ni hili hapa, Tutabadilisha kitu gani Bungeni ikiwa tutashinda ARUMERU Mashariki?? Still the vast majority will remain to CCM. I have a point try to think critically.
=Suala la uanachama wangu CDM halina kificho,kama mwanachama nina haki ya kutoa ushauri, pia nimesema think critically unaweza kuona point, usiwe mwepesi kupinga mawazo hadimu. Tatizo lako mtu akiwa na wazo mbadala wajua ni CCM, BADILIKA KIMTAZAMO wewe
Ushauri wako ni sawa na hii:Chaguzi ndogo mfano ule wa Igunga, Vyama vya CCM, CHADEMA na CUF vilitumia pesa nyingi sana kwa ajili ya Kampeni. Nikiwa mwanachama na mkereketwa wa UKWELI ya CHADEMA nashauri tusisimamishe mgombea ARUMERU badala yake fedha zilizotakiwa zitumike kwenye kampeni zitumike kueneza itikadi na mtandao wa chama nchini. Viundwe vikosi kasi 25 kwenda kila mkoa angalau kwa mwezi mzima kwa ajili ya kazi hii. Naamini tutavuna wanachama wengi, na kufungua matawi mengi sana kwa njia hii. Tunao Makamanda kibao tu wenye uwezo wa kufanya kazi hii, mfano, Mhe. Mbowe, Dr. Slaa, Mhe. Zitto, Tundu......Mwakajila, Mtela, Heche, Mdee, na wengine wengi tu.