MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,509
- 6,606
Kuna mtu alisema kabla ya 2020 Chadema itakua imekufa akatangulia yeye baada ya 2020. Kuna watu walimdhihaki Lowasa kabla ya uchaguzi 2015 wakaondoka wao. Tuendelee kusubiri.Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
sasa hivi wamesajili chama kipya (provisinal registration), kinaitwa PIPOZ PAWA-NRNE (PP-NRNE)Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Wewe umewahi kufanya harakati gani hadi umuone Mbowe hafai?Mbowe ndiyo mtu wa hovyo kupata kupita chadema amekuwa na Roho mbaya hajawahi kwenda gerezani wala mahakani kumjulia hali Lisu ana chuki mbaya ni shetani anayeidhoofisha kuihujumu chadema kwa kuwauza G55 na chadema wengine kwa ibirisi wa ccm na chauma ubwabwa, Chadema ya sasa ndiyo wapinzani wa kweli, Mbowe alikuwa muingizaji mwizi Dalali wa Siasa, kwa kifupi Mbowe n chawaccm
Lawama anatupiwa TALNadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Subiri huo mtikisiko wake siku ya uchaguzi kama mtaenda hiv hiv. Ndio mtajua cdm ipo na itakuwepo.Nadhani chadema ishakufa kisiasa
1. Kazuiliwa kufanya mikutano, mihadhara na hata mahojiano ya chombo chochote cha habari hapa nchini
2. Kutotambulika kwa uongozi na msajili
3. Kufungiwa account zake za kifedha
4. Kuzuiliwa kwa mwanachama wowote wa chadema kukutana.
Kilichobaki nini? Kimeshakufa zamani tu
Kwa akili yako wewe Malaria 2 unahisi ni kwanini chadema inafanyiwa huu unyama?Nadhani chadema ishakufa kisiasa