Citizen_37
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 1,013
- 1,210
Kwani waliwahi kufanya uchaguzi wa namna hii wa vigogo miaka ya nyumba? Tuwapongeze kwa kutoa funzo kubwa kwa CCM, uchaguzi umeenda very Transparent, Naonmba vyama vingine viige huu mfano mkubwa.Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Uchaguzi kufanyika usiku wa manane kunatia doa hiyo transparency.Kwani waliwahi kufanya uchaguzi wa namna hii wa vigogo miaka ya nyumba? Tuwapongeze kwa kutoa funzo kubwa kwa CCM, uchaguzi umeenda very Transparent, Naonmba vyama vingine viige huu mfano mkubwa.
Wewe kama una akili utagundua kuwa mchakato halali kama huu unaoendelea CDM ndio kitu walichoshindwa CCM kule Dodoma na kuishia kusema Samia amepita kwa 100%. Akili zako zinakuambia ni chama kipi kinazingatia demokrasia kati ya CDM na CCM? Would you guess?Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
You are demonstrating a worrying naivety about political issues engulfing our democratic processes in the country.Hata mimi nimeshawatoa kwenye imani kitambo ni bora tuendelee tu na hili zimwi letu
Wewe nawe unaonekana uko ndotoni una mkojo angalia usije kujikojolea kwa hiyo unataka wafanye Uchaguzi wa kukimbizana kwani wanawahi wapi? Uchaguzi mkuu tu inachukua mpka siku siku 3 au 4 kutangazwa kwa matokeo ya washindi majimboni wanachofanya hawa watu wanajaribu kuonesha Dunia hawa rush mambo Kama Bao la Jogoo kwa mtetea ni slow but sure siyo kama nyie CCM wavivu kufikiri mnafika Dodoma mnakuta mmeshachaguliwa Kila mtu kazi yenu ni kupitisha tu Yani mpompo kama VIVUMISHI VYA IDADI lakin cyo kwa CDMHiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
We nyani ratiba ya mkutano mkuu ulikuwa nayo? Je utaratibu wa uchaguzi wa chadema unaufahamu?Niumie kisa CHADEMA isiyoweza kuhesabu kura 1,000 ndani ya dakika 10?
Makamanda hamna kabisa akili…..na ndo maana hata kuhesabu kura kunawashinda 🤣.
Kwenye uchaguzi huu, kuna kitu cha kujifunza! Hauwezi kuuita ni uchaguzi, uchaguzi ambao kabla ya kufanyika, kishapatikana mshindi!Tatizo liko hapo kwenye cheo cha juu .......kura 1000 wanakesha nazo .......je ukiwapa za serikali za mitaa kuhesabu si mwaka mzima huo
Kwani washapiga kura?Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Kwamba watapiga kura usiku wa manane na kuzihesabu usiku wa manane mpaka asubuhi ya kesho yake?
Kama ni hivyo basi hawafai kabisa.
Demokrasia haipaswi kufanyika gizani.We nyani ratiba ya mkutano mkuu ulikuwa nayo? Je utaratibu wa uchaguzi wa chadema unaufahamu?
Tuanzie hapo
Zege halilali, kumbuka walianza asubuhi, hawawezi wakaenda kulala kisha waje wamalizie.Uchaguzi kufanyika usiku wa manane kunatia doa hiyo transparency.
Sunlight is the best disinfectant.
Labda ungeeleza maana ya giza ni nini.Demokrasia haipaswi kufanyika gizani.
Bado hamjasemaHiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Uchaguzi wenye wapiga kura wasiozidi 1000 wanachukua siku 2! Aibu sana kwa hawa CHADEMA Pinga Pinga!Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Una sababu nyepesi sana, just tu sababu wamechukua muda? Huja consider factors zilizopelekea kufika huko?Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Wanatengeneza Mazingira Mangi Mbowe ashinde.Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Tatizo Chadema wanaingiliwa, wanahujumiwa tofauti na chama tawala kwenye chaguzi zao.Hiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Kura 2000 ukianza kuvusha sikuKwani ratiba yao ya upigaji kura na muda wataotoa matokeo hawakuiweka bayana?
Isijekuwa ni utaratibu wameweka ya kwamba kura zitapigwa muda fulani, na matokeo yatatajwa muda fulani , hivyo wapo ndani ya ratiba zao.