Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,890
- 141,553
Bila Mbowe kupisha wengine pale juu usitegemee jipya kwasasaHiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Yawezekana kweli wanahitajj watu wapya kwenye uongozi wa chama.Bila Mbowe kupisha wengine pale juu usitegemee jipya kwasasa
Mbowe akishinda basi ccm mbele kwa mbeleYawezekana kweli wanahitajj watu wapya kwenye uongozi wa chama.
What is happening should neither be acceptable nor tolerated.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Inashangaza sanaTatizo liko hapo kwenye cheo cha juu .......kura 1000 wanakesha nazo .......je ukiwapa za serikali za mitaa kuhesabu si mwaka mzima huo
Ndio..Mjomba angu Freeman Mbowe hakikisha kikoba cha ukoo kinabaki salama.
Niumie kisa CHADEMA isiyoweza kuhesabu kura 1,000 ndani ya dakika 10?Unaumia ukiwa wapi?
Na bado. Chadema wanawaonyesha watanzania kwa vitendo nini maana ya demokrasia.
Na kupitia Chadema watanzania wanajifunza kuwa inawezekana mkatofautiana kimtazamo bila kutukanana na kukomoana kama mnavyofanyiana huko CCM.
The future of Tanzania will be in safe hands kama Serikali ikiongozwa na Chadema.
🤣🤣Huwa wanaitukana Tume ya Uchaguzi
Chukua Nchi wewe,kama unadhani ni rahisiHiki chama kinachojinasibu kuwa ndo chama kikuu cha upinzani nchini [whatever that means], bado sana.
Bado hakipo tayari kuongoza nchi. Kinaweza kuwa na miaka 30+ sasa tokea kiundwe, ukweli wa mambo ni kwamba bado hakijakomaa.
Yaani zoezi dogo tu la kupiga kura ndani ya chama kuchagua viongozi wao, wanatumia siku nzima kulikamilisha?
Hawa si watu wa kupewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa sasa.
Hawawezi kuendesha chaguzi zao wenyewe zenye wapiga kura 1,000 kwa haraka, ndo wataweza kuongoza watu zaidi ya milioni 60 na taasisi zote za kiserikali zilizopo?
Sidhani.
Iwe iwavyo itavyokuwa, baada ya huu uchaguzi wao itabidi wajiangalie na wajirekebishe katika jinsi wanavyoendesha mambo yao.
Wanaziachia fursa ndogo ndogo kama hizi za kujitenganisha vyema kabisa na CCM, ziwapite.
Walikuwa na muda wote huo wa kujiandaa na huo uchaguzi wao, lakini wapi!”
Mambo kama haya yanapaswa kutokukubalika kabisa la sivyo yataendelea kuwepo na yatakimulika chama katika mwanga ulio hasi.
CHADEMA, do better.
Kwamba watapiga kura usiku wa manane na kuzihesabu usiku wa manane mpaka asubuhi ya kesho yake?Kwani ratiba yao ya upigaji kura na muda wataotoa matokeo hawakuiweka bayana?
Isijekuwa ni utaratibu wameweka ya kwamba kura zitapigwa muda fulani, na matokeo yatatajwa muda fulani , hivyo wapo ndani ya ratiba zao.