Uda
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 811
- 624
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
MY ASH TRAY HEART SAYS NEY!!!
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU