Chadema inazuia wananchi kupindua serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema inazuia wananchi kupindua serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amanibaraka, Mar 21, 2011.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk. Willibrod Slaa, alisema:

  “Labda nimwambie (Msajili wa Vyama vya Siasa, John) Tendwa kwamba...CHADEMA inafanya kazi kubwa ya kuwazuia wananchi kuingia mitaani kama walivyofanya Misri, Tunisia… kama sio sisi kuwazuia hawa watu wangeingia barabarani siku nyingi"


  SOURCE: TANZANIA DAIMA
   
 2. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Ni kweli amenisaidia sana aisee....!
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  CHADEMA CHACHUKIWA NA VIJANA KWA KUMKINGA KIKWETE ASING'OLEWE MADARAKANI

  Laiti kama isingalikua ni CHADEMA basi hadi sasa Mhe Kikwete angemtangulia Mubarak Uarabuni.

  CHADEMA hadi sasa kinafanya kazi ya ziada kukiokoa serikali ya kifisadi na uchakachuaji kising'olewe madarakani lakini wimbi kubwa huenda ukawashinda hapo mbeleni kidogo kwa KUTEGEMEA SANA SWALA LA KATIBA NA TUME HURU YA UCHAGUZI utakavyoshughulikiwa bungeni na vita dhi ya ufisadi zaidi nchini.

  Jambo hili la CHADEMA kuwa ngao kwa CCM ni la kweli kabisa na ninashangaa kwamba imekuaje viongozi wetu kama vile John Tendwa na wengine wengi tu nchini hawajapata kugundua kwamba hadi hivi sasa CHADEMA kinawakosesha amani wananchi wengi sana juu ya tabia yao na mbinu mbali mbali wanazotumia KUZUIA SERIKALI CHUKIZO LA CCM lising'olewe na MAFISADI wote hadi sasa.

  Kama hamalitambui hili mbaka hivi sasa basi kuna shida kubwa mno.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  tuuwatoe kama vipi, si wameshashibndwa nchi//we watu gani mnashindwa kusupply umeme kwa watu 20% kati ya populatiomn ya watu million 40? si ni wehu huu
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Mzee hii haikutakiwa kuwa kwenye lile jukwaa la jokes/ utani?
   
 6. K

  Kamongo JF-Expert Member

  #6
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 20, 2009
  Messages: 494
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  tutaandama wakitupiga mabomu obama analeta ndege
   
 7. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #7
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  Na mjomba wa ujerumani amekwisha leta midola.
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Mar 21, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Vipi zile za Wall Street kwa kipenzi chako Februari Ma-Ropes zitarejeshwa vipi na kwa gharama ya nani hasa???
   
 9. K

  Kadogoo JF-Expert Member

  #9
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,072
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Obama hupeleka ndege penye mafuta sasa TZ kama kuna mafuta basi bila shaka ndege zitakuja lakini kama nchi hata umeme haina nani atatuma ndege zake ktk nchi kama hiyo?
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,483
  Likes Received: 765
  Trophy Points: 280
  nguvu ya umma..lolz
   
 11. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #11
  Mar 21, 2011
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Waki2pinga maandamano Marekani & Uingereza wataleta ndege chap na watang'oka tu hawa mabwenyenye,mafisadi wasiot6sheka.
   
Loading...