CHADEMA inavyonufaika na watu smart

Ni kweli wako smart kwa kusheni mapandikizi yetu.
 
Also you're very Intelliigent but not SMART!!!!!!
Rais wako likewise na ndo maana kila siku anateua Doctors n' Professors ambao wamejaa akili za darasani lakn ukiwapa kazi wanaboronga........!?!?!
Kwa vile Rais wa CCM ni very intelliigent huu ushauri wako hawezii kuupokea....!!!!
 
Thadei Ole Mushi, najua unajua. Ila kibaya huku kwetu nikuwa na makundi, na wengine kujiona bora kuliko wengine. Ila andiko lako limeeleweka, subiri kuitwa sio mzarendo.
 
Your upstairs is extra man...Safi sana.
He is A MAN AND A HALF.!!! kinachotugharimu CDM mpaka sasa ni KATIBA na TUME HURU YA UCHAGUZI... Hayo Tu! Leo tukisema ipigwe kura kwa njia ya kupanga mstari kwenye picha ya mgombea utashangazwa Sana na watakaosimama kwenye line ya mgombea wa CCM.
 
Ndug nimekusoma vzur nimetumia bando langu kusoma maandishi yako na nimeyaelewa na nimejifunza mengi sana shukran sana
 
Kumbe mkitulia mnaongea points umenichekesha hapa "Tamko moja la Chadema tunawaza kushinda nalo wiki "
 
Bandiko bora # 2 kwa wiki hii baada ya lile la mkuu barafu. Kongole.
Ukiwauliza wale wazee waliopitia Kivukoni wakati huo,watakwambia tatizo kubwa linaanzia kwenye Uongozi mkuu. Jinsi alivyo,tabia na mwenendo wake,ndivyo atakavyochagua watu wake wa kuwa karibu naye automatically,hapo ndipo wale wengine waliotofauti naye wanapojiweka kando kama vile hawahusiki. Ukiwa mbaguzi na mwenye makundi,kamwe usitegemee watu tofauti kuwa karibu nawe.
 
Mwenyekiti wenu alishakiri kuwa watu smart huko ndani wameisha.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…