Kwema kama kaka chilisosiNimeshangaa sana kuona makamanda viroba wanashanbikia bila kutumia akili matukio ya mabomu na vurugu zinazoendelea nchini bila kufikiri chanzo ni nini?
Mimi nawauliza tu, siku Lema na Dj wakipatikana na hatia ya kupanga mauaji mtasema nini?
Mkae mkijua iko siku watanaswa tu!
Nimeshangaa sana kuona makamanda viroba wanashanbikia bila kutumia akili matukio ya mabomu na vurugu zinazoendelea nchini bila kufikiri chanzo ni nini?
Mimi nawauliza tu, siku Lema na Dj wakipatikana na hatia ya kupanga mauaji mtasema nini?
Mkae mkijua iko siku watanaswa tu!
Kwa hiyo huo ushahidi waliuandaa kabla ya bomu kulipuka au sio?Naona umeamka sasa hiivi na kukurupuka sasa na wewe anataka ukatoe ushahid mahakamani kama kina wenzio Nape,Mwigulu,Mtikila,Hawa Gasia au takataka hata sifahamu hili jina la aina gani any way Criss Lukos.Kumbe hujafahamu kuwa Chadema wana full ushahidi?Pole sana,kama vipi waambie wakutumia hela yako kutoka Lumumba maake ushapost au waweza waambia wakamtumia mama'ko kwa njia ya M pesa.
Kwa hiyo huo ushahidi waliuandaa kabla ya bomu kulipuka au sio?
Nimeshangaa sana kuona makamanda viroba wanashanbikia bila kutumia akili matukio ya mabomu na vurugu zinazoendelea nchini bila kufikiri chanzo ni nini?
Mimi nawauliza tu, siku Lema na Dj wakipatikana na hatia ya kupanga mauaji mtasema nini?
Mkae mkijua iko siku watanaswa tu!
Watakwambia, "Tulianza na Mungu na tunamaliza na Mungu", wakati huo wameshika "viroba" vyao mkononi.
Huyo Mungu anayewatuma wakaue wananchi sijui ni Mungu gani!
my take;Nimeshangaa sana kuona makamanda viroba wanashanbikia bila kutumia akili matukio ya mabomu na vurugu zinazoendelea nchini bila kufikiri chanzo ni nini?
Mimi nawauliza tu, siku Lema na Dj wakipatikana na hatia ya kupanga mauaji mtasema nini?
Mkae mkijua iko siku watanaswa tu!
Itakuwa jinamizi la ccm mjinga weee!
Haitaniingia akilini hata kidogo ya kwamba mawazo yenu ndiyo imefika kikomo.
Unatafuta ushahidi gani, ilihali tayari ushahidi wa awali kwenye mauaji ya mwangosi unaonyesha kwamba ni kawaida ya CCM kuua na kusingizia CHADEMA? Mwaka huu wenu! Na CHADEMA wameshawashika pabaya. Vinginevyo mmutafute mmoja ambaye ni cheep mmnunue ili akinenee uongo CHADEMA. Otherwise, huu mwaka wenu CCM. Mbinu zenu zote zishagundulika.Nimeshangaa sana kuona makamanda viroba wanashanbikia bila kutumia akili matukio ya mabomu na vurugu zinazoendelea nchini bila kufikiri chanzo ni nini?
Mimi nawauliza tu, siku Lema na Dj wakipatikana na hatia ya kupanga mauaji mtasema nini?
Mkae mkijua iko siku watanaswa tu!
Hili swali lingeulizwa na yeyote kati ya wafuatao hata nisingeshangaa wala kushtuka lakini wewe Chilisosi, ex-police officer!Kwa hiyo huo ushahidi waliuandaa kabla ya bomu kulipuka au sio?
Unatafuta ushahidi gani, ilihali tayari ushahidi wa awali kwenye mauaji ya mwangosi unaonyesha kwamba ni kawaida ya CCM kuua na kusingizia CHADEMA? Mwaka huu wenu! Na CHADEMA wameshawashika pabaya. Vinginevyo mmutafute mmoja ambaye ni cheep mmnunue ili akinenee uongo CHADEMA. Otherwise, huu mwaka wenu CCM. Mbinu zenu zote zishagundulika.
Mnaua halafu mnasingizia CHADEMA. Hivi kama CHADEMA wangetaka kuua, si wangetuma watu waue kwenye mikutano ya CCM? Sasa CHADEMA ni wehu hadi waue watu kwenye mikutano yao ili wahudhuriaji kwenye mikutano yao wapungue? Mwaka huu hamtoki. Naona namna ambavyo CCM mnajimaliza kabisa na mbinu zenu za usalama wa taifa waliochoka akina Ighondu.
Makala murua na yenye tija humu jamvini!
Ongera mkuu kwa kufunguka.