Maishamapya
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 1,279
- 375
We Prudence kama alivyo kaka yako Padre Privatus na kaka yako Primus ni wazuri sana wa kujenga hoja watu wa Ibwera kule aragwe.
Lakini kwa hili Classmate wangu imekupuruchuka.
Kwani lazima ujue kuwa kazi ya Vyama vya Upinzani ni kuizindua na kuikosoa Serikali iliyopo madarakani kwa nia na madhumuni ya kufanya nchi iende sawia. Kwa hiyo Serikali yoyote iliyo makini ni ile inayochambua kauli za wapinzani na zile wanazoziona zinawakwaza wananchi basi inaweka kipaumbele katika kuzitatua.
Mfano mdogo ni issue ya katiba mpya. hata kule Kenya utaiona upinzani ndio ulioshinikiza na serikali ikakubali na baadae wamepata katiba mpya. Si rahisi kwa Serikali yenyewe na chama chake kutaka katiba mpya sababu kubwa katiba hiyo mara nyingi ina kipendelea chama tawala.
Kwa hiyo Upnzani si dhambi na ni wajibu wao kuikosoa serikali pale inapokosea.
Nyegera waitu
Lengo lake si kuzungumzia mpira, 'off side trick' was just a carrier of the message but the message delivered.Mkuu unajua mpira au unazungumza tuu hii habari kufurahisha baraza...
Off side trick ni mfumo unaotumiwa na timu inayowaelemea wengine, hivyo kutokana na wao kushambulia zaidi ya kushambuliwa..
Offside trick hutumika kama kinga ya mashambulizi ya ghafla kutoka upande unaoshambiliwa ma mara nyingi huwa ktk nusu uwanja au robo tatu ya uwaja ktk mashambulizi yako upande mmoja unaoele ewa....
Kitaalam beki hujipanga mbele ya washambuliaji hasa wa mwisho hii inasaidia mpira kuchezwa zaidi upande wa pili na kuifanya timu nyingine kujihami zaidi...
Kwa hiyo yawez kana kabisa umeandika kichwa cha ha ari vizuri lakini umeshindwa kutumia maana yake.. Chadema ipo katika mashambulizi na offside trick wanaitumia kuhakikisha CCM hawarudi na counter attack wakiwa wamejisahau..
mimi aomba amani tu na sipendi lugha chafu na za uchochezi.
Sisiemu wasipoangalia watakuwa wanatekeleza sera za CDM badala ya Sera za CCM
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
[/QUOTE
Dear madam/ madam
Mawazo kama haya yamepitwa na wakati, ningependa kutoa wito kuwe na JF Nusery, JF Primary, JF Secondary n.k kwa mtu kama huyu ambaye haja qualify hawezi kuchangia point nzito kama hizi jamani mtapasua kichwa. Tena anafaa awe JF Day Care ya kunywa uji na kuchezea vibembea tuu mpaka akue kidogo.
Itawapata zaidi watu wachache wa kanda ya Mashariki waishio Kimara, Sinza, Mbezi, Boko, Tegeta na wachahce wa Msasani. Haiwezi kabisa kupa watu wa Temeke, Ukonga, na hata Magomeni , kariakoo na kigamboni.
Sababu kubwa chama ni cha Ukanda na ukabila bila kusahau udini
Kazi kwenu
Kwa hilo ni lazima CCM wasalimu amri! Ile mbinu yao ya kutumia wabunge kupayukapayuka kama wanyama pori imeshindikana!!