Mkuu nimekupata kwa kweli wanajisumbua tuu CDM bado sana, hata wenyewe wajua hilomtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.
wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.
Nipo hapa lushoto, nimegundua jambo moja nalo ni mapenzi mazito waliyo nayo watu juu ya Chama kubwa, Chama lao CHADEMA
PEOPLES..................

mtahangaika sana wakuu ccm haifi kwa thread za uzushi kama hizi.
wewe hata ukisema chadema inapendwa na watanzania wote jibu mtalipata kwenye sanduku la kura na mzee wenu anazidi kuzeeka mtaipata tu itabidi muandae pempasi mtatikiswa sana na wenye roho ndogo hamtavuka.
Wee akili yako nahisi itakuwa Ina shida Je utafiti gani umefanya? Sample size yake ilikuwaje? What was ur unit of analysis? Sio kukurupuka tu na kusema CDM inapendwa au laaaa!!! Nenda shule dogo utapata maarifa thabiti na hautakuwa mchumia tumbo
Nimepita maeneo ya nyororo,,,mafinga,,rungemba,,, hadi migoli huko iringa vijijini,gumzo ni chadem; pamoj na TISS haswa mwigulu kutumia nguvu za ziada kuupinga ukweli;
Huwa ninaposali wakati wote sijawahi kusahau kuiombea chadema.
Chadema ndiyo maisha
Unaongelea Arusha au Kilimanjaro?
Yani Nipo Mtwara CDM ni gumzo baada ya CUF kuolewa na ccm
mkuu Ritz
Machizi wanajiliwaza waangalie Egypt pale ndio utajua unapendwa au unachukiwa; watanzania wapo wanakula bata wao taratibu hawana muda na uzushi wa Chadema; hizi wanazoleta ni hadithi za vilinge vya kahawa!
you are the SI Unit of foolishness
Wee akili yako nahisi itakuwa Ina shida Je utafiti gani umefanya? Sample size yake ilikuwaje? What was ur unit of analysis? Sio kukurupuka tu na kusema CDM inapendwa au laaaa!!! Nenda shule dogo utapata maarifa thabiti na hautakuwa mchumia tumbo
Yani Nipo Mtwara CDM ni gumzo baada ya CUF kuolewa na ccm
inapendwa lushoto kwani mbunge wa hapo nani ni ccm au chadema diwani je fikiri ukipata jibu la chama cha mbunge na diwani pamoja na wajumbe ndio kinachopendwa acha kutuongopea wewe